Kwa niaba ya watanzania, Mhe. Mhagama naomba pitia huu ushauri kuhusu wizara ya Afya na msaada kwa wananchi.
Serikali chini ya Rais wetu mama Samia naomba muanzishe HEALTH INFORMATION CALL...
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAHANGA WA MATUKIO YA KUTOWEKA NA KUTEKWA (ENFORCED DISAPPEARANCES)
Dar es Salaam, Agosti 30, 2024
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Agosti 30...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa nchini.
Ametoa wito...
1. Husonga Mbele. Huwa hawapotezi muda kujisikitikia na kujipetipeti.
2. Huyapokea Mabadiliko.Huyakaribisha mabadiliko kwa mikono miwili
3. Huwa Wenye Furaha. Hawapotezi nishati zao kwenye mambo...
Zoezi la uhakiki wa taarifa bank ya NMB ni kero kwakweli, foleni ni ndefu kila branch, watendaji hawajipanga, inchukua hadi dk 20 kwa mtu mmoja kuhudumiwa na wahudumu kwa kila branch ni mmoja...
Watoa huduma ndogo za fedha na vikundi vya kijamii nchini vinavyojihusisha na huduma za mikopo vimetakiwa kuwapatia nakala ya mkataba wananchi wanaowakopesha mikopo.
Akizungumza katika program...
Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii.
Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha.
Makampuni yatakutafuta usiku na...
Wadau habari za mchana.
Kuna hili jambo la kulipishwa gharama ya malipo ya Serikali namawakala nilikuwa nalisikia kwa watu leo limenikuta.
Nimeenda kufanya malipo ya TZS 560,000/= kwa CONTROL...
Na Mwandishi Wetu Arusha.
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL , limesema inandelea kuwezesha nchi zinazoizunguka Tanzania kupata huduma ya Mawasiliano kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano unao...
Leo nimeamka vizur sana, sikutegemea siku yangu itaelekea kuwa chungu.
Nipo zangu posta natembea mdogomdogo kuelekea ofisini asubuhi ya leo, mara ghafla kuna jamaa akaanza kuniongelesha (umri...
Wadau hamjamboni nyote?
Jama yangu huyu tukishinda wote Kijiweni tunasubiria kahawa na kashata za bure ghafla kapotea baada ya wiki nne anapiga simu kapata kazi kwa wazungu
Cha ajabu...
TCRA vs VPN:
[emoji3581]Moja, TCRA haina mamlaka kisheria kumtaka raia kwa LAZIMA atoe "IP Address" yake. Hata KUOMBA raia atoe "IP Address" ni kosa. Hili la VPN nalo linapotoshwa tu. Matumizi ya...
Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu.
Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga...
Baada ya usajili wa Mussa Kipanya pale Wasafi FM kwenye kipindi Cha Good Morning. Huyu Mwamba simuoni. Napenda kujua yupo wapi Mimi ni mfuasi wa utangazaji wake
Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili...
Ufunuo 12:1
"Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!"
Luka 1:26
"Mnamo mwezi wa sita...
Habari zenu ndugu watanzania!!!!
Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF.
Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara...
Bunge ni chombo muhimu kwa maslahi ya pana ya Taifa hususani katika kuweka sheria na utaratibu wa kanuni/sheria za nchi,maadili ya viongozi na usimamizi wa chama/serikali tunapofanya mzaha katika...