Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenye kujua huyu mnyana anijuze tafadhali.
6 Reactions
10 Replies
774 Views
Mkubwa wa taarifa za kinakuhusu miradi ya makubaliano na kukosekana na nyenzo za kufuatilia na kupima maendeleo ya ahadi zinazotolewa katika mikutano hii. Wachambuzi wengi wanaonya kwamba usiri...
3 Reactions
11 Replies
939 Views
Miji mingi Tanzania inakabiliwa na kupoteza ubora,nyumba nyingi zinaonekana kuchakaa hususani paa za nyumba nyingi kuonekana kuwa na kutu. Yawezekana ni bati kutokuwa na bati nyingi kukosa ubora...
13 Reactions
21 Replies
3K Views
Anonymous
Tatizo la wafanyabiashara kupanga bidhaa zao chini kwenye maeneo ya Kariakoo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara, hususan nyakati za mchana. Eneo la watembea kwa miguu limevamiwa na...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Kumekucha wadau! Leo nikiwa namsikiliza Aunt Sadaka, Mwanasaikolojia na Mshauri wa masuala ya Malezi, Ndoa na Mahusiano kwenye redio, nikajikuta nakumbuka mambo ya utotoni na vile vipondo...
3 Reactions
10 Replies
621 Views
Anonymous
Habari za kazi, tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za kada...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
guest-1793390367
Hivi kwanini huwa zinaitwa ndege za chini?
1 Reactions
6 Replies
505 Views
KUAHIRISHWA KWA TRENI YA ABIRIA YA EXPRESS Uongozi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) inasikitika kuwatangazia abiria na umma kwa ujumla kuwa treni ya abiria ya Express iliyopangwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Γ—Γ—Γ—Γ—Γ—Γ—Γ— Imethibitishwa Tarehe Γ—Γ—\Γ—Γ—\Γ—Γ—Γ—Γ— Saa 30:95 umetoa kiasi cha shs 5,000 kutoka kwa Γ—Γ—Γ—Γ—Γ—Γ— Pepo mchafu toka, Ada Tshs 950.00 + TOZO ya serekali Tshs 54.00. Lengo la uzi wangu ni kwanini...
1 Reactions
0 Replies
249 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Mashaka Biteko anatarajiwa kuzungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (Annual Non-Government Organizations Forums)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tuliposhangaa na kuhoji kwa nini Messi ashinde ballon d'or dhidi ya Halaand, vijana wa Messi walirusha mawe sana, Anyway maisha ya soka yaendelee.
0 Reactions
6 Replies
596 Views
Ongezeko la uvamizi wa magari binafsi kwenye barabara za Mwendo Kasi (BRT): Je, Mamlaka zinabariki matumizi haya? Katika miaka ya hivi karibuni, mfumo wa Mabasi ya Mwendo Kasi (BRT) umekuwa...
3 Reactions
5 Replies
947 Views
Huo ndio ukweli I can't become a bodaboda rider Hizi ndo sababu zangu - Hii kazi Ina risk Sana haina kiinua mgongo chochote ni Kazi inayopigiwa chapuo na wanasia Ila watoto wao hawawezi...
21 Reactions
78 Replies
3K Views
Hii hali sijui inaisha lini huzuni sana sana Mtoto wa darasa la nne amebakwa na kijana mmoja akielezea kama una mtoto wa kike unaliaa Mtoto anasema alichukuliwa akapelekwa nyumba moja alipoanza...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Serikali kupitia Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), imewatoa hofu Watanzania juu ya ubora na usalama wa sukari inayoingizwa nchini kutokana na umakini wa vyombo vyake vya Ulinzi, Usalama pamoja na...
1 Reactions
3 Replies
389 Views
Hello wakuu, kuna mahali nataka kuweka biashara, sasa hakuna frame (chumba) so nataka nijenge mm kwa makubaliano na mwenye eneo, ENeo la frame ni sqm 35 (7*5), hivyo naomba wazoefu wa ujenzi...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Dunia inabadilika kwa kasi sana, dini (Ukristo , Uhindu na Uislam) zinajaribu kwenda kinyume na uelekeo wa mawimbi, dini zinapingana na upepo, dini zimezeeka, dini zinaizuia dunia isisonge mbele...
29 Reactions
380 Replies
16K Views
Afya ya akili haipimwi kwa vile tunavyofanya peke yake, ila ni pamoja na vile tunavyokataa kufanya moja ya nguvu kubwa ya kuwa na afya bora ya akili ni uwezo wa kusema hapana, kama kwako neno...
0 Reactions
1 Replies
462 Views
Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari Wana Jamii forum, nitumaini langu wote mnaosoma hii post muwazima. Ni kwa uchungu mwingi nawaleteeni discussion ya maovu mengi yanayofichwa nakusokomezwa chini ya jamvi yanayofanywa na...
1 Reactions
0 Replies
377 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…