Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Vijana wengi Duniani wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb.) ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia ya kieletroniki. Dkt. Mwigulu...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Salamu... Hili lituhusu wote humu bila kujali itikadi zetu mbalimbali. Taswira ndani ya taifa katika nyanja zote imekuwa ni hovyo sana. Lengo la ujumbe huu ni kusema mabadiliko ya kweli...
0 Reactions
7 Replies
309 Views
Kikatiti wilaya ya Arumeru leo tumekuwa tukikatiwa umeme tangia asubuhi kuna nini? Sahivi tuko gizani, what's going on? Tunaomba umeme vinginevyo tupeni taarifa kuna nini. Soma Pia: Naibu Waziri...
1 Reactions
1 Replies
345 Views
Zimesalia siku 10 pekee kabla ya kukabidhi zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024. Mwaka huu Washiriki walionesha 'Nguvu ya Kalamu' zao kwa mawazo, maoni na michango ya kipekee...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanajamvi, habari za mahangaiko. Naomba kuuliza anaejua mshahara wa mkuu wa idara elimu wilaya kwa upande wa secondary anijuze. Nataka kujua DEO secondary ni kiasi gani cha mshahara anaweka...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Naona wananchi wameanza kuchoka Wananchi wa njombe wamemwomba rpc husika kama wakikamata wauwaji walawiti wezi wanahitaji feedback Wananchi wamesema hawaoni msaada kama wanakamatwa na baadae...
2 Reactions
3 Replies
325 Views
Mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15. Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Usiniulize kafikaje huko, hawa watu...
37 Reactions
251 Replies
29K Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
54 Reactions
148 Replies
33K Views
Askari Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wametakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka Hifadhi ya Ngorongoro ili kuendeleza juhudi za uhifadhi za eneo...
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri 39 anayefahamika kwa majina Airini au mama QUEEN amekutwa amefariki nyumbani kwake katika chumba anachoishi lakini pembeni kukiwa na kichanga...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Niaje waungwana, Hiki kisa, au tukio lilintokea miaka mingi kidogo. Enzi zile za kwenda kuangalia movie katika vibanda vya video. Sasa siku hiyo nilienda kuangalia video katika banda moja...
96 Reactions
281 Replies
22K Views
Anonymous
Maji hayatoki, pia wakala wa huduma za nishati na umeme vijijini hawatoi majibu ya kueleweka kuhusu wananchi ambao bado hawajapata huduma ya umeme, walifanya survey mwezi Machi mpaka sasa Septemba...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Niaje Furaha ndio highest level of success Kuifikia hii furaha mara nyingi ni pale mtu anaweza yaishi maisha yake vile anavyotaka yeye Hapo ndipo mtu anapotakiwa awe na financial freedom ama...
4 Reactions
14 Replies
571 Views
Habari zenu wanajukwaa. Nimatumaini yangu kwamba mmeamka salama salmin. Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba lipo sakata linalofanana na la binti wa Yombo ambapo limetokea wilayani Kilindi mkoani...
14 Reactions
87 Replies
5K Views
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao)...
23 Reactions
226 Replies
34K Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000...
16 Reactions
261 Replies
70K Views
Kituo Cha Afya Usinge kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua, Mkoani Tabora, kimefanikiwa kufanya upasuaji wa dharura kwa wajawazito, ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu kilipoanza kutoa...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua? Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…