Habarini,
Kama sikosei takwimu zinasema hifadhi ya mlima Kilimanjaro ndo inayoongoza kwa kuingiza fedha nyingi zaidi za kigeni hapa nchini kuliko hifadhi zingine. Najiuliza hivi zile barafu pale...
Kwa ambao hamuijui Mayotte kama mimi ni kuwa Mayotte ipo Comoros ila inamilikiwa na Ufaransa na Rais wao ni Emmanuel Macron. Kwahiyo mimi hapa Tanzania kila siku nawaza kuhama tuu niende mamtoni...
#HABARI Mtoto Rwegasila Jackson (14) mkazi wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera anahofiwa kufa maji baada ya kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati akiogelea na wenzake kwenye fukwe za Gymkana Manispaa...
Wakuu salama!
Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla.
Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye...
GRAPHS ZA MAISHA: KUPANDA, KUSHUKA NA KรWA UNIFORM
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Maisha ni hesabu ya ๐ ๐ Graph. Maisha ni safari. Katika safari kรปna nyakati, mazรฎngira, na wahusika ร mbao...
Wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Oysterbay, iliyopo Wilaya ya Babati Mkoa Manyara wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu kutokana uchafu uliozagaa pembezoni mwa Shule hiyo...
Mtu akisha kosa aibu anaweza fanya au ongea jambo lolote lile.
1. Ilikuwa ni aibu kwa wazazi kuozesha binti yao na akawa sio bikra, now si aibu.
2. Ilikuwa ni aibu mtoto kuzalia nyumbani bila...
Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya...
Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siรด kwa mama au bibi fulani.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako...
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya...
Jeshi la Polisi Tanzania limemuita Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa ajili ya mahojiano...
Kijijini kwetu ukienda mashineni kusaga unga wa sembe, unarudi na dona, mtama au unga wa mhogo. Yaani sembe yote inamezwa(unajichanganya na huo unga wa mtama)
Kijijini kwetu ukitaka kujenga...
My Take
Kiukweli Utapeli wa Dini Za Wazungu na Waarabu Huwa unanipa Raha sana ya Kicheko ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
https://twitter.com/zoomafrika1/status/1828132965932786005?t=N7i4nl8cxrSGmancTJ2HAg&s=19
Huduma ya kujitenga kwa muda ama moja kwa moja (temporary self exclusion or permanent self exclusion) kwenye makampuni ya michezo ya kubashiri (online) haipaswi kuwa ni huduma ya hiari kwa watoa...
Dar es Salaam, Septemba 10, 2024
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika tarehe 28...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya...
Taarifa ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ya kulaani mauaji ya watu Watatu wa familia moja huko Dodoma imesema, hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko kubwa la matukio ya kikatili...
Tunatumia muda mwingi kwenye simu zetu za mkononi, iwe ni kwa kutuma ujumbe, kupitia mitandao ya kijamii, kuangalia barua pepe au kufuatilia habari mpya. Kwa kawaida tunazima simu zetu pale tu...
Hi everybody,
Hope mnaendelea poa na majukumu ya kulisongesha gurudumu la maisha,
Mie naomba tu kuuliza maana hii hali huwa inajitokeza sana endapo nikikaa the same place for months, najipata i...