Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo tarehe 13 Oktoba limenyakua Tuzo ya Jumla (Overall Winner) kwa upande wa sekta ya umma kwenye Maonesho ya Madini yanayofikia tamati leo mkoani Geita...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya ujenzi wa shule ya msingi na uchangiaji wa majengo ya zahanati unamilikiwa...
1 Reactions
0 Replies
427 Views
Nina mashhaka nabutendaji kazi wa hii sector ni kama imekosa watu wenye upeo wa mambo Hivi kama unahitaji watu 100 kada x halafu wahitimu wa hio kada from 2015--2017 roughly ni 20,000 wewe...
1 Reactions
3 Replies
276 Views
Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
#HABARI: https://www.facebook.com/itvtz/videos/1591165991754927/ Baadhi ya wafugaji jamii wa Wamang'ati pamoja na Wasukuma wanaoishi katika Kitongoji cha Nangorokoro, wilayani Liwale, mkoani...
5 Reactions
7 Replies
492 Views
Mamlakaa Usafiri Baharini imesema serikali imeridhia kampuni za uwekezaji nchini zinazotoa huduma za usafiri wa Baharini kuongezeka bei za nauli za usafiri kutoka Dar es Salam na Unguja kwa daraja...
2 Reactions
6 Replies
889 Views
Nimeona mahali wakizuia mtu kuingia na T-shirt ofisini na maelezo ni kuwa eti ni nguo ya kihuni. Nguo zinazotambuliwa ni mashati ya kawaida kama uniform za kwaya ama vitenge na suruali ya...
4 Reactions
2 Replies
484 Views
Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu. Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni...
0 Reactions
8 Replies
556 Views
Ugonjwa wa Couvade, pia huitwa huruma ya mimba ni hali ambapo baba kijacho hupata baadhi ya dalili na tabia kama za mpenzi wake mjamzito. Mara nyingi ni pamoja na kunenepa, viwango vya homoni...
1 Reactions
1 Replies
459 Views
Mtu yupo kanisani au msikitini kavaa jezi ya Man Utd. Mtu yupo harusini au msibani kavaa jezi ya Yanga. Mtu kaendda kufata huduma ofisi za serikali, kaenda kupiga passport kwa ajili ya...
14 Reactions
26 Replies
1K Views
Tamasha la Land Rover limefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mkoani Arusha leo 12 Oktoba 2024. Arusha ni kitovu cha utalii Afrika Mashariki zaidi ya magari 1,000 ya Land Rover...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Kila kitu kilikua kinaenda vizuri kama alivo mpanga kwasababu mshahara wake ulikua unamtosheleza mpaka pale alipo kopa 31m kufanikisha sherehe ya harusi yake, ili apate social class status kama...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwako kamishna Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Napenda kukujuza tu lile zoezi la Mara Tarime liendee Hali si nzuri mashamba ya bangi ni mengi yakiwa na...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Malalamiko yangu ni kuhusu uhamisho kwa Watumishi wa Umma, kuna baadhi ya mikoa mfano Mkoa wa Kilimanjaro na Lindi viongozi wetu wanakataa kupokea barua za Watumishi wanaotaka kuhama kwa...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini leo tarehe 13 Oktoba, 2024...
1 Reactions
1 Replies
374 Views
Kuna baadhi ya Halmashauri zinakwamisha juhudi za Serikali kwa makusudi ili ionekane Serikali haifanyi kazi. Povu langu ni kuhusu mfumo wa uhamisho Serikalini, kubadilishana kwa Watumishi...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari JF members Mimi ni mtumishi ngazi ya Serikali ya mtaa takribani miaka tisa (9) sasa. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nikaomba uhamisho kwenda mkoani kwasababu familia yangu...
12 Reactions
109 Replies
7K Views
Dar es Salaam, Jumapili 29 Septemba. Leo ni mwanzo wa Safari ya Baiskeli ya Twende Butiama 2024, safari ya kihistoria ambapo waendesha baiskeli 113, wakiwemo washiriki wa kimataifa kutoka Kenya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya ‘Twende Butiama’ tunaendelea na msafara...
3 Reactions
10 Replies
118K Views
Kwa muda mrefu, niliamini kwamba uongozi ulikuwa ni suala la kuvaa vizuri, kuwa muongeaji sana na ujasiri wa kusimama mbele za watu. Pindi tulipokuwa shule haswa shule ya msingi basi kiongozi...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…