Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NCHI 9 ZASHIRIKI TAMASHA LA 43 LA BAGAMOYO WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa Tamasha la 43 la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo limeshirikisha Nchi 9...
3 Reactions
2 Replies
435 Views
Hii kampuni ya huduma za kifedha hovyo kabisa, customer care mbovu hawana limit time ya kushughulikia tatizo la mteja, pesa yangu imekwama kwenye selcom pay zaid ya Miezi sita sasa hawana time na...
3 Reactions
17 Replies
964 Views
Kamari nyingine ya kupiga marufuku ni hizi makanisa ambayo sio ibada bali miujiza. Prosperity scripture nayo ni kamari, eti panda mbegu, toa sadaka upate utajiri. Wanatuuzia udongo mafuta ya...
1 Reactions
3 Replies
391 Views
Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa...
4 Reactions
72 Replies
3K Views
Wahusika kama ilikuwa muda bado wa kujenga mliona haja gani kukwangua barabara na kuicha hivo wiki ya 4 sasa. Mnatupa kero sana na vumbi na foleni isiyo na sababu. Kipande hiki tokea mzunguko wa...
0 Reactions
3 Replies
658 Views
Wakuu sauti iliyopzwa imemfikia Waziri Dkt. Gwajima D Wanafunzi hao kurudi shule baada ya kupita kwenye programu ya marekebisho tabia. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka sintofahamu baada ya mtu mmoja aliyetambulishwa kama msaidizi wa karibu sana wa Hayati Rais Mobutu Sese Seko aliyekuwa mtawala wa Zaire (Congo DR), akiishi maisha...
0 Reactions
4 Replies
754 Views
Hii dawa yenu inayochemka saivi yaani ipo siku kuna watu watainywa ikiwa ya moto kabisa.
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG, Manyara. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amefungua maonyesho ya Tatu ya biashara ,Viwanda ,kilimo na Madini ya Tanzanite Manyara Trade Fair...
1 Reactions
1 Replies
346 Views
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo...
15 Reactions
68 Replies
5K Views
Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa...
6 Reactions
90 Replies
44K Views
Nasikia tu huu usemi kua mwanamke hapigwi bali anapigwa kwa upande wa khanga sasa adi Leo sijui maana yake. Naomba ufafanuzi asanteni
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jukwaa. Niko kwenye harakati zangu za utafutaji wa mkate, ghafla inaingia meseji ambayo iko hapo kwenye picha niliyo ambatanisha kwenye hii post. Ikanilazimu nipige simu...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
FILAMU ZA KIMKAKATI KUANDALIWA KUELEZEA UTAMADUNI NA VIVUTIO VYA TANZANIA Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Bodi ya Filamu @tanzania_film_board na Michezo ya Kuigiza imeandaa Mkakati...
1 Reactions
5 Replies
582 Views
Salamu Wakuu. Niende moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Hili suala la Redio na Tv na kamari sasa ishakua kero yaani unakuta kipindi cha Redio au kipindi cha Televisheni...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Tatizo linaonekana pia kwenye picha niliyoambatanisha. Unawezajiuliza walikusudia nini kuleta hii huduma ambayo sasa badala ya kumrahisishia mwananchi huduma imekuwa kikwazo mwananchi kupata...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nilipoteza kitambulisho changu cha ajabu nilienda kituo cha polisi nikafata loss report maana nafahamu ni 500 tu Cha ajabu naambiwa niende stationery ya nje kufika naambiwa ni elfu tano za...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni hivi, loss report inapatikana online mwanzo mwisho. Huna haja ya kwenda kituo cha polisi kupanga foleni. Mwanzo swala hili lilikua kama ni nightmare coz lilikuwa linainvolve alot of excessive...
11 Reactions
37 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…