Kamari za Makanisa na wachungaji feki

Kamari za Makanisa na wachungaji feki

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
24
Reaction score
142
Kamari nyingine ya kupiga marufuku ni hizi makanisa ambayo sio ibada bali miujiza. Prosperity scripture nayo ni kamari, eti panda mbegu, toa sadaka upate utajiri.

Wanatuuzia udongo mafuta ya upako na majivu nasi tunanunua. The government must protect its citizens from such predators!
 
Shida iko kwa waumini, na sio wachungaji feki.
Tena waumini wao ndio watetezi wakubwa wa mapateli!

Hao waumini ni wateja vile vile wa chama, na ni mtaji kwenye chama.
Ili chama kiendelee kutawala milele, lazima mazombie yawepo!
Hakuna mtume, nabii feki anaye kikosoa au kukishauri chama na serikali yake. HAKUNA!

Na ndio maana, tamko la kanisa katoliki linachukuliwa kwa uzito kwa sbb sio sehemu yao.
 
Kagame anataka ukiwa Pastor uwe na Degree ya Theolojia ,Tanzania dini zinatumika vibaya sana vyama vya siasa vinatumia Dini kupata mileage za kisiasa huku ma pastor feki wakitumia dini kama washing machine
 
Na mengine ya kubusu masanamu na kuomba wafu wawaombee kwa Mungu,wauza mafuta ya upako,watoza gharama za kumuona nabii au mtume,wacheza magwaride ya kijeshi n.k. Kwa kifupi makanisa yote ni michango,michango,michango tu.Wanashindana kujenga majengo ya kifahari kwa gharama za waumini maskini kabisa.Serikali ikitenda haki wote watakuwa hatiani mi naona kila mtu ajitambue na kutoshiriki vitendo vyovyote vilivyo kinyume na Neno la Mungu."Mwana akiwaweka huru,mtakuwa huru kweli kweli" Yohana 8:36
 
Back
Top Bottom