Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ajira uwapa watu pesa ya kula Kujenga mtu mpaka akope Ajira iko well calculated ili kuua akili ya waajiriwa wasiwaze nje ya box Ukitaka kujua ajira utapeli mtu anayelipwa 1.2 million per month...
1 Reactions
1 Replies
294 Views
Anonymous
UTARATIBU MBOVU WA UREJESHAJI ADA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM: Nilifanya application ya kusoma evening program chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) college ya Journalism and Mass communication...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Mmoja wa wachangiaji katika Kongamano la Katiba lilioendeshwa na Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) mwishoni mwa wiki mkoani Katavi amedai: "Kama katiba inatambua umri wa mtu kuoa na kuolewa...
0 Reactions
1 Replies
448 Views
Sasa yatosha, majirani zetu wanateseka sana. Ni wakati sasa jeshi letu pendwa (JWTZ) kwenda kufanya operation nyakua nyakua kutokomeza waasi wote na kuiacha DRC salama. Ikumbukwe kuwa kwa...
1 Reactions
4 Replies
462 Views
Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi. Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi...
3 Reactions
9 Replies
592 Views
Leo nimeona kiumbe ambaye kanshangaza Au mnamjua wakuu👇👇
1 Reactions
0 Replies
367 Views
Muda huu usiku wa saa tisa nasikia huko nje kunguru wanalia na wamepita kama wanaelekea sehemu. Je kuna disaster yeyote au hali hii inaashiria nini?
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna mahala unaweza kwenda kuishi / kukaa siku kadhaa kufanya mambo yako / kusalimia , kuchill, n.k. ila ghafla ukajistukia uwepo wapo unavumilika tu, hawana time na wewe, n.k. Kisa cha kwanza...
3 Reactions
2 Replies
299 Views
Binadamu ni kiumbe cha ajabu, hata ufanye nini huwezi kuwaridhisha. Jambo muhimu ni kuwa na stahmala, kuvumilia jinsi unavyoshambuliwa, kupingwa, kukosolewa au kutukanwa kwa jambo ulilofanya...
1 Reactions
2 Replies
294 Views
Utandawazi tunauvulia nguo na kuuoga kisawasawa bila kuzingatia misingi. Leo hii wananchi wengi wanapendezwa,kuhamasishwa,kutamani utajiri pamoja na matajiri hasa kwenye mali za kujionesha na...
4 Reactions
1 Replies
392 Views
Wanajamvi habarini za asbh na polen na harakat za kupambana na umaskini. Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa nimekuja kwenu wataalamu wa kunzisha NGO zisizo zalisha faida lkn zenye tija kwa jamii...
0 Reactions
3 Replies
323 Views
Anonymous
Sekretarieti ya ajira imetoa majina ya afya ya USAILI wa kuandika, ila cha kusikitisha ni kwamba usaili wa kuandika unafanyika mkoani unapoishi ila usaili wa mdomo unaenda kule ulipoombea kazi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika nchi hii kuna watu hujui wanapambana na nini. Usidanganywe na jinsi baadhi ya wasichana wanavyojipiga picha na kupost makalio yao kwenye mitandao ya kijamii. Wengi wao huwa wamevunjika...
12 Reactions
18 Replies
1K Views
Habar Ya mchana JF nimewaletea Elimu Ya Kujifunza hapa. ELIMU YA BURE: FAHAMU KUHUSU MAREKANI KASKAZINI, MAREKANI KUSINI, USA, NA JIMBO LA ALASKA...
8 Reactions
30 Replies
5K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nilituma pesa tangu juzi saa mbili jioni, lakini cha kushangaza sms ya malipo kwangu haikuja na wala kwa niliyemtumia pesa haikumfikia pia. Wakati huo huo huku salio langu linaoneshwa nimekatwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Dhambi ni Nini Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Habari wana jambi. Mimi mfichua maovu naomba kuwaa taarifu wa Tanzania wote na wadau wa Sanaa kuwa Hii kampuni inayoitwa Kismaty media yenye maskani yake ARUSHA mtaa wa Sakina ambayo mkurugenzi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kiongozi huyo mwenye miaka 85 yuko hoi sana kitandani na muda wowote anaweza kuaga dunia. Kwa sasa anayetarajia kupokea kijiti ni mtoto wake au mwingine atakayechaguliwa. Taarifa hizi zimekuja...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
[/B] Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto), akipokea tuzo ya 'Benki Bora Tanzania' kutoka kwa Joseph Giarraputo, Mwanzilishi na Mhariri Mkuu wa Global Finance, katika...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Back
Top Bottom