Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dini hizi mbili kuu zilizokuja na Majahazi ndio zinafanya mpaka sasa tunashindwa kusimama na kuwa wa moja. Mfano: Baadhi ya maeneo hapa Tanzania wanachagua kiongozi kwa kuangalia Dini yake. upewi...
5 Reactions
15 Replies
618 Views
Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia! Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa...
1 Reactions
3 Replies
463 Views
BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu, Pongezi sana JamiiForums kwa kutupazia sauti mpaka maji yameanza kutoka na presha ipo vizuri tofauti na siku tatu za nyuma kabla ya maji kukata kukabisa. Nimeona Waziri amekuja kujibu na...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Leo hii Israel ina: 50% Middle Eastern Jews. Hawa ni wale ambao walikuwa wametapatapa katika nchi za mashariki ya kati na wachache sana walikuwa wamebaki Israel wakiishi kwa kubaguliwa...
1 Reactions
3 Replies
344 Views
Salaam Wakuu, Baada ya Mdau wa JamiiForums kulalamikia Ukosefu wa Maji Mbezi Beach, Waziri wa Maji Ndugu Aweso kasema tatizo limeisha. Akijibu Hoja hii ya Mdau, Waziri amesema; Mdau, Pole...
0 Reactions
10 Replies
802 Views
Wale wote waliotangulia mbele za Haki mwenyezi Mungu wa mbinguni awasamehe makosa yao Wastarehe kwa Amani amen! Rest in Peace Shujaa Magufuli
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Ukweli huo unakuhusu wewe unae soma Uzi huu. Miaka ya 90 ulipokuwa bado mtoto. Ulikuwa ukisikia redioni kibwagizo cha wimbo " MKE WANGU NI MLEVI ANANUKA GONGO". Ulikuwaga una assume kibwagizo...
4 Reactions
3 Replies
616 Views
Nawasalimu ndugu zangu! Nimejiwazisha tu kwa sauti. NJOO NA MAWAZO YAKO KAMA MENGINE HUKUBALIANI NAYO. I stand to be corrected Daktari ANATIBU nini kama mwenyewe na jamii yake HAJAJISOMA? why...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa...
4 Reactions
3 Replies
719 Views
Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake. Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu. Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama...
1 Reactions
7 Replies
431 Views
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Ajali imetokea eneo la Mzambarauni (Nje kidogo ya Mji wa Morogoro). Inadaiwa kuwa waendesha Bodaboda waliojaribu kuchota mafuta wameteketea ktk moto huo > Mpaka sasa chanzo cha Lori hilo...
37 Reactions
2K Replies
246K Views
Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi katika kikao kazi kilichowakutanisha Wizara, Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kitengo cha...
0 Reactions
2 Replies
401 Views
Ukifanya utafiti utagundua siku hizi watu wengi hawawapi watoto wao majina ya Kiasili kama vile ya kikabila au ya kiswahili. Siku hizi majina mengi yanabaki kuwa ya kizungu kwa wakristo au ya...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure! Pia soma: √ -...
5 Reactions
82 Replies
3K Views
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia. Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa...
39 Reactions
431 Replies
14K Views
Wadau, hii mitandao ya simu imeona kuna fursa kubwa kwenye malipo ya mtandaoni hasa Kwa kutumia hizi virtual cards. Nimeshangaa Kuona bili ya Dola 17.2 zimekatwa elfu sitini na mbili yaani...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Back
Top Bottom