Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾 Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
TAFSIRI YA MANENO YANAYOTOKA NA “KISWAHILI” KWA MUJIBU WA WASWAHILI WENYEWE. “Saa ya Kiswahili”: Saa isiyozingatia muda wa miadi (ni kinyume cha, “saa ya kizungu” ambayo humaanisha, “Juu ya...
1 Reactions
2 Replies
388 Views
Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu...
0 Reactions
1 Replies
374 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi mingi katika sekta ya afya inayolenga kuongeza ufanisi katika huduma za afya na...
0 Reactions
6 Replies
493 Views
Maskini wazee wa matusi na makasiriko wasiopenda kuambiwa ukweli watakuja kunisemanga lakini ukweli utabaki palepale. Haiwezekani eti account inasoma positive ukanyang'anyane siti kwenye...
19 Reactions
33 Replies
2K Views
Kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika. Hawa watu wanaojulikana kama madalali au 'mtu wa kati' wamekuwa wakifanya maisha kuwa...
0 Reactions
9 Replies
851 Views
Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani? Walikosa neno lingine au basi kuna jambo...
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Mteja sio panya mpaka muwaekee mtego kama ule wa makusudi kabisa kwahiyo mmeamua kuuza vocha kwa lazma? Je hamuoni kama huo ni wizi yanI mnamtega mteja anunue vocha badala ya kutuma hela, naomba...
2 Reactions
0 Replies
361 Views
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wanaopenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa hasa wale wa mujibu wa sheria huwa wanajaa mno. Ijapo kuwa jeshi hili halitoi ajira, lakini vijana...
0 Reactions
3 Replies
553 Views
Chama cha Wananchi CUF kimetoa wito kwa mamlaka inayosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuongeza muda wa wakuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea. Katika tamko ambalo wamelitoa...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Novemba 1, 2024 kilichofanyika Makao Makuu ya Wizara...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku. Wakiwa katika...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club. Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Hawa jamaa mapengo yao hayajazibwa mpaka Leo Fedwaa Mohammed Baraghaza Rebecca Mulesi Fedwaa alitisha Sana - katika kuandaa sindano tano za moto Mohammed Baraghaza alitisha katika , jee huu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Vyombo vya habari vina wajibu mkubwa wa kuripoti kwa umakini na usahihi habari mbalimbali hasa zinazohusu uchaguzi ili kuipa jamii kile ambacho inachostahili. Wakati wa kampeni waandishi wa...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Msitu wa miti unaouona leo ni matokeo ya miche iliyopandwa na kulindwa kwa miaka mingi hapo nyuma” Maisha yako ya leo sio ya leo bali ya miaka mingi ya nyuma. Kile ulichokuwa unakifanya miaka...
3 Reactions
5 Replies
431 Views
Serikali ikiendelea kupiga hatua dhidi ya uboreshaji wa elimu Tanzania mkoa wa mwanza unakabiliwa na changamoto wanafunzi kukaa mda mrefu kwenye vituo vya magari kwa kukosa kipaumbele mda wa jioni...
0 Reactions
4 Replies
465 Views
Back
Top Bottom