Leo ndo nimeamini elimu haina mwisho
Dr Manguruwe ameshtakiwa Kwa makosa 28,
Likiwepo kosa la kucheza upatu, ambapo kidogo imenishangaza, nikaona kiama kimefika Kwa vijumbe mtaani
Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za...
Hahahahahah Mwakasege bana.....
Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza...
Mbunge wa Geita Mjini Constantine Kanyasu amesimama Bungeni Leo ambapo amesema kuwa nchi imekosa vipaumbele ikiwe cha kuwalazimisha wanafunzi kusoma masomo ya wasiyotaka kwa hoja ya kupata mikopo...
Salam kwenu.
Naona sasa imekuwa kero sana kwa makampuni ya simu kuamua kuzifanyia usajili upya namba simu kwa kigezo hazijatumika kati ya miezi 3 hadi 6.
Leo nimemtafuta mtu kwa namba ta tigo...
Nimeona miaka ikienda lakini stendi ya Tegeta Nyuki ambayo ni moja ya stendi kubwa tu inayobeba magari mengi yanayofanya safari zake maeneo mengi katika Jiji hili la Dar es Salaam.
Kwa mfano kuna...
Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani (slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu.
Sasa hivi karibuni...
Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu, yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana...
Polisi huko Mwanza Wametoa taarifa ya Mwanamke mmja kuuwawa na mumewe baada ya Mke kumtuhumu Mume Kwa sababu alikuta sms ya mapenzi kwenye simu ya Mwanaume.
Baadae Mume alikimbia ila akazidiwa na...
Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu...
Heri kwenu wakuu.
Kwanza nianze Kwa kusema wakuu jibane bane ujenge uwe na kwako.hata kama ni chumba na sebule tu.Ni heshima kubwa mno kwako na hata Kwa demu/mke wako.
Kipindi hicho Sina ramani...
Hayati Privatus Mutekanga Karugendo: 1956-2021
Tangu mwaka 1990 nilipokuwa kidato cha tatu katika Seminari ya Katoke (Biharamulo) hadi leo nimemfahamu Hayati Privatus Mutekanga Karugendo (65)...
WAZIRI wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda, ametahadharisha kuwa kuna hatari kubwa teknolojia ikawaleta makanjanja wengi kwenye tasnia ya habari ambao hawana elimu na masuala ya...
Bukoba
Kikao cha Kamati ya pamoja cha wataalamu wa Tanzania na Uganda kimeanza mkoani Kagera nchini Tanzania kujadili uiamarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo.
Kikao hicho...
Mimi ni Mkazi wa Gongo la Mboto Majohe, Dar es Salaam, huku kwetu kuna tatizo la uchimbaji mchanga sana, sisi Wananchi tunahofia Bonde linaweza kutanuka kutokana na uchimbaji huu
Wanaofanya hiyo...
Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.
Kwa...
Habarini wana jamii wote,nimeota nimeingia hospital nikamuona daktari wa kike akaniuliza majina yangu nikamtajia akaniambia, "kwanini baba ako anakufanyia hivi"?
Then akanichoma sindano akavuta...
Wataalama wa mambo ya treni, mje kunijuza ni kwa nini treni ya mchongoko (EMU) inatumia vichwa viwili kimoja mbele na kingine nyuma? Kwangu naona ni gharama zinazoepukika ikiwa kuna uwezekano wa...