Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika hatua ya kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania na washauri wabobezi wa...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Wakuu, weekend hii nimeingia Mbeya kwa ku-drive toka Dar, na nikashangaa sana kukuta maendeleo kidogo sana ya ujenzi wa hii barabara ya kwenda Tunduma hadi Zambia toka nitembelee hapa miezi minne...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Tarehe 30 Oktoba 2024 kituo cha habari cha NPR, kiliweka wazi kuwa Harris atatumia usiku wa uchaguzi katika Chuo Kikuu cha Howard, HBCU ambayo ni mahali palipo na mchango mkubwa katika...
1 Reactions
0 Replies
317 Views
Sasahivi ukifika Kariakoo ni vurugu sana za pikipiki na Bajaji. Yaani ni mafuriko. Nadhani hizi Bodaboda na Bajaji zisingeruhusiwa kuingia Posta na Kariakoo. Mbona vile vidaladalq vidogo/Hiace...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi Novemba 2024, ikilinganishwa na bei za mwezi Oktoba. Kwa mujibu...
0 Reactions
4 Replies
899 Views
Meli ya MV. Victoria iliyo chini ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) inayofanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba, kwa miezi kadhaa sasa “crane machine” haifanyi kazi baada ya kuharibika...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Jeshi la polisi mkoani Kagera limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kumtapeli mwalimu mstaafu zaidi ya Shilingi milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi ambayo imeunganishwa na akaunti yake ya...
7 Reactions
74 Replies
5K Views
Bei ya Grand malt iliyozoeleka ni elf 2 na mia tano lakini sikuhizi kuna maduka unapata kwa elf 2 Nilianza kununua za elf 2, Sijajua kama koo na ulimi wangu vina matatizo lakini nahisi kuna vitu...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri...
1 Reactions
1 Replies
586 Views
Habari zenu wakuu, bila shaka nyote ni buheri wa afya, kwa wenye magonjwa mola atawasaidia. Pasi na kupoteza muda naomba niende kwenye lengo la andiko langu.kumekuwa na habari nyingi kuhusu Mt...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa mgombea wa chama cha Republican Donald Trump amepata kura 198 za wajumbe wa kamati maalum ya uchaguzi nchini Marekani, ambayo inamchagua Rais maarufu kama...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na Mawaziri wanatoa majibu. Tufuatilie yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya mji wa Dodoma...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja. 2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa. NB...
21 Reactions
346 Replies
9K Views
Kuna misemo kwamba ukiona bosi kakalia kiti cha kuzunguka (lugha ya mafumbo kutoboa) ujue kafanikiwa, fanya kazi kama mtumwa uishi kama mfalme, n.k. Hio misemo ni kwajili yetu tuliotokea familia...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
NAMBA ZA OFISI ZA WAKUU WA POLISI WILAYA(OCDs) MIKOA YOTE Ndugu Balozi/Mtumiaji wa Barabara Tafadhali hifadhi namba hizi kwenye simu yako ili kukurahisishia kutoa taarifa za matukio ya kihalifu...
3 Reactions
21 Replies
10K Views
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC...
2 Reactions
10 Replies
881 Views
Habari zenu ndugu zangu, Nami nichukue fursa hii kushare japo kwa uchache uzoefu nilioupata katika mapambano ya kupigania uhai dhidi ya maamubikizi ya maradhi ya virusi vya corona Covid-19/ SARS...
21 Reactions
80 Replies
8K Views
Halmashauri ya wilaya ya Rorya ni halmashauri zilizoanzishwa miaka kadha huko nyuma, mbali na kwamba halmashauri hii imeshachukua muda mrefu tangu kuanzishwa kwake lakini kuna huduma zingine...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ujenzi wa njia nne katika halmashauri ya Jiji la Mbeya umeshika Kasi sana,ujenzi huo unaanzia Nsalaga Hadi Ifisi Barabara hizo pindi zitakapokamilika zitasaidia sana kupunguza msongamani...
1 Reactions
2 Replies
969 Views
Nakumbuka jumapili moja nikiwa Sina hata 100 mfukoni nikiwa nawaza nafikaje kesho chuo maana kwenda na kurudi ni 1200 basi mida ya saa mbili najiandaa kwenda kanisani mara nikapigiwa simu na namba...
4 Reactions
2 Replies
557 Views
Back
Top Bottom