Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka...
4 Reactions
39 Replies
609 Views
Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahim Mohamed Shayo (maarufu kama Ibraline), ameishukuru na kuipongeza Serikali kwa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na utalii kati ya Urusi na Tanzania kupitia...
0 Reactions
3 Replies
40 Views
Mtaani kwetu hapa Kimara Mwisho karibu na Ukumbi maarufu wa Noble kuna ghorofa ambalo limetelekezwa na sasa lina dalili ya kuanguka. Tumeshawahi kuripoti katika Serikali ya Mtaa walifika na...
2 Reactions
5 Replies
115 Views
Sehemu ninayokaa hamna bomba kuna mtu wa nyumba ya pili alikuwa amevuta maji akawa anatuuzia maji ila baadaye akaja kuzuliwa na DAWASA DAWASA kuwa hana kibali cha kuuza maji lakini pia sisi...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Kuna taasisi inaitwa Information Systems Audit and Control Association ISACA Audit Association wanaendesha mafunzo ya CISA (Certified Information System Auditor). Sijajua kwa wengine lakini...
0 Reactions
2 Replies
54 Views
Naona kama gen z ni mchele mchele sanaaa. General Ulimwengu anasema vijana wa extended high school wakiwa pale mliman au udom ......
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Nipo Mkoa wa Mbeya - Wilaya ya Chunya (Mamlaka ya Mji mdogo Makongolosi), Kata ya makingolosi, changamoto kubwa ya eneo hili ni kukatika katika hovyo kwa umeme. Unawaka dakika 3 then unakatika...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Nakutana na changamoto ya taasisi nyingi za serikali, mawasiliano yao (namba za mawasiliano kuwa hazipatikani) wakati ukikwama katika ukamilishaji wa mahitaji katika tovuti zao. Mfano TaESA ni...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Mabwepande kuelekea Bunju B ni Shilingi 1,500 kwa Bajaj kitu ambacho ni gharama kubwa kwa wananchi wa hali ya chini, ushauri wangu zipatikane daladala zitoke Mabwepande ziende Tegeta Nyuki, ambapo...
2 Reactions
0 Replies
43 Views
Hospitali ya Mkapa Dodoma inatakiwa kuboresha huduma zao hasa katika suala la watendaji, kwanza haina wauguzi wa kutosha, vitanda vya ICU vipo 14 tu, madaktari wawili, manesi wanne tu. Yaani...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Mallerina aka kiuno nyigu, shepu ya zebra huwa ni kwanini lakini? Mbona tajir secretarybird ni mtu poa sana kwa apeche alolo wengi tuliomo JF?
3 Reactions
11 Replies
138 Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa mno la wauzaji wa simu refurbished, Simu hizi ni original zimetumika marekani na ulaya, watu wa huko wakizichoka au zikiharibika kuna viwanda vimeona fursa ya...
10 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu tatizo linaweza kuwa kwa mteja au kwenye duka 1. MADUKA Kuna uwezekano mkubwa ni simu used au refurbished, Simu zenye brand kubwa kama Samsung, Google Pixel, Iphone, Samsung ni...
0 Reactions
7 Replies
379 Views
Habari ndugu zangu, naombeni msaada wa maoni na ushauri, eti utaratibu wa MAOMBI ya kiroho kama huduma ya matibabu unagharimu kiasi gani Cha fedha. Na je malipo Huwa ni kabla au baada ya huduma...
5 Reactions
24 Replies
150 Views
Habari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo. Ninahitaji kufunga ila natamani kujua ni solar yenye ukubwa gani ambayo itanifaa, vitu vyakutumia...
2 Reactions
22 Replies
153 Views
Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto Kuna (baadhi) ya watu wazima wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao...
13 Reactions
83 Replies
569 Views
Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je...
5 Reactions
74 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha inamshikilia raia wa Romania, Constantin Catalin Podoleanu, mwenye umri wa miaka 39, kwa tuhuma za kutumia taarifa za kadi za...
3 Reactions
17 Replies
288 Views
  • Redirect
HABARI Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la ugonjwa wa akili amechoma moto kwa jengo la zamani la Mahakama ya Mwanzo Moshi, mkoani Kilimanjaro, na kusababisha vyumba vinane (8), nyaraka za...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…