Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli? Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
"Wanandoa walihamia kwenye nyumba mpya. Asubuhi iliyofuata wakiwa wanapata kifungua kinywa, yule mwanamke akamuona jirani yake akianika nguo nje alizofua. Akasema, "naona kama zile nguo...
4 Reactions
7 Replies
582 Views
Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha. Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend AU tips Gani hutumika kukuza...
1 Reactions
6 Replies
757 Views
📖Mhadhara (62)✍️ Kumekuwa na changamoto ya usafiri kipindi cha mwezi Disemba hasa karibia na tarehe za sikukuu ya X-Mass na Mwaka mpya. Hiki ni kipindi ambacho watu wengi wanasafiri kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Mwananyamala Kisiwani Kwa Kidile tuna kero yetu ya takataka, zimekusanywa sehem ya makazi, zina wiki sasa kiasi kwamba funza na wadudu wengine wameanza kusambaa Bila...
1 Reactions
0 Replies
345 Views
Yaani ile ame ‘sign in’ tu kazini, iwe ndani au nje ya ofisi, anatakiwa avae bodycam na aiwashe katika masaa yota atakayokuwa kazini, hata kama ameenda kula.., hii itasaidia sana kuboresha ufanisi...
2 Reactions
12 Replies
548 Views
Kuna baadhi ya watu wanatumia changamoto zinazowakumba watoto wa kike kujinufaisha, pasipo kujua kuwa wanatekeleza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Vishawishi kama vile vyakula (mfano chipsi)...
1 Reactions
9 Replies
657 Views
Nasikia Sauti kama Mabomu ama Baruti hivi.....
1 Reactions
21 Replies
2K Views
A- Wakili. B- A surveyor. C-A land Valuer. D- Mlevi mmoja ama wawili wa hapo mtaani Watakao kuambia kweli(hidden truths) na historia ya hicho kiwanja.
9 Reactions
9 Replies
671 Views
Ilianza kama mzaha kwa RC Makonda kutangaza majina ya wasanii aliowashuku watumia dawa ya kulevya.Akapata coverage/kiki kubwa katika media za ndani. Then akafuata Naibu waziri wa afya kutoa amri...
4 Reactions
109 Replies
13K Views
Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia Sema nini wakuu Tuombe mwisho...
20 Reactions
37 Replies
2K Views
Kumeibuka tabia ya aibu, tabia ya kishenzi kwenye jamii ya vijana wa Kitanzania. Vijana wamekuwa kama walemavu, wameamua kutumia mitandao ya kijamii kusifia wanadamu wenzao ambao huwapa unga na...
4 Reactions
9 Replies
792 Views
Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula. Ushauri wenu una...
24 Reactions
125 Replies
6K Views
Dodoma dodoma dodoma nakuita mara tatu Moja ya mikoa mibaya kimazingira dodoma ni miongoni mwao kwa uchache hizi ni sifa za dodoma Mkoa ambao kwa asilimia kubwa ni nusu jangwa (semi arid) Mkoa...
50 Reactions
231 Replies
10K Views
Asilimia 70 na zaidi ya watu wote wanaofutila siasa za Marekani wamefurahishwa na ushindi wa Trump, hata mataifa hasimu ya Marekani yamefurahishwa sana na ushindi huo. Pongezi ni kwa Trump...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
📖Mhadhara (61)✍️ MAONI KUHUSU UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO 🔘 Katika kupambana na UKATILI WA KIJINSIA KWA MTOTO, wazazi wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika mapambano hayo, hivyo ni muhimu...
0 Reactions
1 Replies
472 Views
Uchunguzi wangu umebaini kuwa asilimia kubwa sana ya wanafunzi waliosoma shule za Masista hawawapendi Watawa hao na wala hawapendi kurudi kusoma shule hizo. Aidha, wengi wa wanafunzi hao...
11 Reactions
167 Replies
12K Views
The Shifting Landscape of US AI Policy: Navigating Innovation, Security, and Ethics By 2025, artificial intelligence is projected to generate $15.7 trillion in global economic value. As the U.S...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime...
2 Reactions
1 Replies
430 Views
Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya abiria dogo aina ya Toyota Hiace kuligonga lori kwa nyuma wilayani Nzega mkoani Tabora leo Alhamisi Novemba 7, 2024. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
9 Reactions
67 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…