Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali ni bora itowe huduma za afya bure kuliko elimu. Fedha za elimu bure zihamishwe kwenye afya ili madawa na huduma kwa ujumla vipatikane kwa urahisi kwa kila raia. Ukiwa na afya mgogoro...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Wakuu habari za weekend, Wakati natafakari mambo Leo nimejikuta nakumbuka tukio gumu lililo huzunisha moyo wangu sana. Ilikuwa mwaka 2008, baada ya kumaliza form six katika shule ya Tabora...
61 Reactions
530 Replies
79K Views
Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza...
1 Reactions
13 Replies
832 Views
📖Mhadhara (59)✍ Je, wajua? Wanawake wengi wanakuwa na siku za kununa bila sababu. Bila shaka unaishi na ndugu yako wa kike, mfanyakazi mwenzako wa kike, mkeo, mchumba, au mpenzi wako na huwa kuna...
1 Reactions
9 Replies
610 Views
Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake! ================ Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa...
3 Reactions
19 Replies
909 Views
Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa...
13 Reactions
153 Replies
15K Views
Nini huwa kinasababisha wanawake kuchukiana au kutopendana wao kwa wao? Ukikuta wanaume wanachukiana au hawapendani mahali mara nyingi kutakuwa na maslahi ila wanawake wana tabia fulani hivi ya...
1 Reactions
2 Replies
340 Views
Salaam Wakuu, Zanzibar yaandaa Bonanza la Utalii, Michezo na Utamaduni la Pemba, tarehe 27 hadi 30 Novemba 2024. Hapa chini ni Hotuba iliyotolewa leo na Mhe. Mudrik R. Soraga Waziri wa Utalii na...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Kamishna wa Operesheni Mafunzo wa Jeahi la Polisi CP Awadhi Juma Haji Leo Novemba 8,2024 amefunga mafunzo ya siku tano kwa Wakuu wa Polisi Wilaya zote Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo...
0 Reactions
2 Replies
392 Views
📖Mhadhara (58)✍️ Leo ni Novemba 8, 2024. Mwaka 2024 unaelekea kwisha, ile mipango yako yote uliyopanga kuifanya na kuikamilisha mwaka huu imebuma, tena imebuma kweli kweli. • Unadhani ni kwanini...
4 Reactions
2 Replies
370 Views
Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au...
2 Reactions
4 Replies
641 Views
Fahamu Masharti ya Kudumu ya Mkataba wa Faragha wa waalikwa katika Sherehe za P Diddy Mhusika hapaswi kusema yatakayotokea katika sherehe hizo hadi kifo cha P Diddy na miaka 20 zaidi baada ya...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za...
1 Reactions
3 Replies
518 Views
Wanabodi, Kwa mujibu wa Katiba yetu ya mwaka 1977, kuna ngazi ama level ya Uongozi ukishaifikia basi wewe utaendelea kuishi kwa gharama za serikali maisha yako yote hapa duniani (mpaka ufe). 1...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241 . Tarehe 13/09/2024 Mahakama ya rufaa imeelekeza kuwa mtoto wa nje ya ndoa anatakiwa kupata urithi. Imeelekeza kuwa urithi wake utakuwa sawa kabisa na...
15 Reactions
94 Replies
4K Views
Kumekua na upotoshaji mkubwa sana juu ya viwanda ambavyo vingi vilianza kufa miaka ya 1980's mpaka 2000's mwanzoni vikawa vimekufa vyote Viwanda vingi sana hapa Tanzania vilijengwa na mkoloni ni...
4 Reactions
15 Replies
685 Views
Mikoa yenye idadi kubwa ya kaya zinazojisaidia vichakani, porini na baharini (hazina vyoo). Asilimia ya kaya kati ya kaya zote katika mkoa husika zinazojisaidia vichakani n.k 1. Kaskazini Pemba...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hawa wafugaji ni vinara wa kutangaza amani kwa wakulima kwa zaidi ya miaka 35 sasa ila maajabu yalioje wanaficha mapanga na vitu vya ncha kali kwenye makoti yao. Wafugaji hawajali lolote kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
418 Views
Habari Wadau see Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁 Yaani niishi hadi mwaka 2100 Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
9 Reactions
109 Replies
3K Views
Back
Top Bottom