darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,099
- 18,048
Ilianza kama mzaha kwa RC Makonda kutangaza majina ya wasanii aliowashuku watumia dawa ya kulevya.Akapata coverage/kiki kubwa katika media za ndani.
Then akafuata Naibu waziri wa afya kutoa amri ya kukamatwa kwa vijana wanaosadikika kuwa mashoga kina Kaoge,James Delicious
Infact hawa wanatafuta kujijengea jina kwa Mh. Rais ambaye inaonekana ni mpenzi mkubwa wa aina hiyo ya uongozi.
Ingawa wanafanya hivyo kwa maslahi binafsi, hawakufikiria jinsi matamko kama haya yanavyovuta attention ya dunia na kuwa chanzo cha misigano ya kidiplomasia (rejea kauli ya Nape aliyowajibu Wamarekani kuhusu mgogoro wa Zanzibar iliyosababisha wafunge ofisi yao ya misaada na kuondoka) na kashfa kubwa kwa taifa (Rejea saga la Zambia,Uganda na Zimbabwe).Amri hiyo tayari nimeshuhudia ikitangazwa na Tv ya CGTN na magazeti na mitandao kadhaa ulimwenguni.
My take: Mawaziri na viongozi wawe makini na wafuate taratibu za kutoa amri,maagizo kwa kupata ushauri wa wataalamu husika.
Tanzania Orders Arrest of 3 Men for Promoting Homosexuality