Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wana JF, binafsi nimeamka asubuhi nimejihisi kuchoka na hii tabia ya kuangalia picha chafu. Nimekuwa na tabia hii muda mrefu sasa basi. Najua kuacha uraibu wa tabia fulani sio jambo...
5 Reactions
17 Replies
585 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha Mda mwingine...
18 Reactions
71 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuona vita vimegeuzwa kama ushabiki wa mpira.Huku watu wanakufa, watu wanapata ulemavu wa kudumu, wengine wanapoteza kila kitu! Wengine wanatazama hii vita kwa itikadi za kidini...
1 Reactions
11 Replies
674 Views
Pamoja na kulenga biashara zake, pia suala la mwanae lilimuumiza sana na anaamini mitazamo ya kiliberali ya democratic ilichangia kwenye hilo...
0 Reactions
4 Replies
595 Views
Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei...
27 Reactions
278 Replies
14K Views
Bukoba Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Watangazaji wa sasa wa Media za Tanzania ni weupe sana kichwani, hawajui kingine zaidi ya Yanga na Simba na Mziki wa Diamond. Hivi ndio vitu wanaweza vichambua kwa asilimia 200. Hawa hawajui...
19 Reactions
52 Replies
2K Views
Kama unaishi/uliwahi kuishi Dar es Salaam utaelewa naamanisha nini. Jehanamu ni nini? Jehanamu au Jehanum ni neno lenye chimbuko la kiyunani gehenna, ambalo limetafsiriwa kutoka katika lugha ya...
30 Reactions
185 Replies
23K Views
HABARI ZA LEO NDUGU ZANGU WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA! Leo kuna jambo la msingi sana naomba kushirikiana nayi, ni muhimu sana kama utazingatia. Sio Tanzania tu, na sio Africa tu, ni dunia...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amesema, Dira ya sasa ilikuwa baada ya mchakato wa miaka mitatu kuanzia mwaka 1997- 99, chini ya uongozi wa Rais Benjamin Mkapa. Na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha...
2 Reactions
13 Replies
9K Views
Na Mwandishi Wetu. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakary Zubeiry bin Ally, amempongeza Dkt. Shehnaz Shaikh kwa kazi yake ya kujitolea katika kuandaa tafsiri ya Qur’an neno-kwa-neno kwa...
0 Reactions
3 Replies
627 Views
Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi, Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye...
16 Reactions
113 Replies
7K Views
Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli? Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
"Wanandoa walihamia kwenye nyumba mpya. Asubuhi iliyofuata wakiwa wanapata kifungua kinywa, yule mwanamke akamuona jirani yake akianika nguo nje alizofua. Akasema, "naona kama zile nguo...
4 Reactions
7 Replies
582 Views
Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha. Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend AU tips Gani hutumika kukuza...
1 Reactions
6 Replies
757 Views
📖Mhadhara (62)✍️ Kumekuwa na changamoto ya usafiri kipindi cha mwezi Disemba hasa karibia na tarehe za sikukuu ya X-Mass na Mwaka mpya. Hiki ni kipindi ambacho watu wengi wanasafiri kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Back
Top Bottom