Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sasa wazee 🤣Trump sijui alidokeza sijui atawapa zawadi gani vile?? Kuna baadhi ya hao (African USA) walidiriki kuyatukana mataifa yetu ya africa sasa🤔🤣Trump atawapa zawadi yenu muda si...
12 Reactions
57 Replies
2K Views
Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali. Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi...
14 Reactions
62 Replies
5K Views
Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya kumiliki kiwanda hicho iliyofanyika katika Ofisi ya PSSSF, Msajili wa Hazina iliyofanyika Agosti 9, 2024...
1 Reactions
1 Replies
432 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uamuzi wake wa...
1 Reactions
1 Replies
361 Views
Kiuhalisia mfumo huu ulipaswa uwe unapandisha score automatically baada ya mtumishi kupandisha asilimia zake na mkuu wa kitengo ku approve. Sasa badala yake kunamtu amekaa amewekwa awe...
0 Reactions
5 Replies
598 Views
1. Ficheni mipango yenu ya Kisiasa 2. Acheni kuwaamini 100% Wake zenu na hasa Madereva wenu 3. Kuweni makini na Vinywaji mnavyokunywa hasa maeneo ya Mapumziko 4. Kataa kuwa na Chawa kwani Mafia...
13 Reactions
17 Replies
1K Views
Na Mwandishi wetu - Dar es Salaam. Peoples Development Forum (PDF), kwa kushirikiana na Jenga Hub, imezindua Mradi wa Mitandao Salama kwa Watoto ambao 1 katika shule mbalimbali za mkoa wa Dar es...
1 Reactions
0 Replies
211 Views
Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
WALOKOLE WAPUMBAVU WANAPENDA SANA KUWAPIMA WATU HEKIMA ZAO KWA UJINGA Kuna walokole WAGALATIA fulani na wengine WAJINGA fulani hivi wakati ukiview hata profile zao unawatazama unaona ukiwajibu...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Leo nimesafiri na bus usiku nikapata mawazo hivi kwanini mabus ya mwendokasi wasifanye huduma zao masaa 24
1 Reactions
1 Replies
428 Views
Mtandao gani wa simu Tanzania una masiliano Mazuri na Uhakika Tanzania au Ambao unaongoza kua na Huduma nzuri na Zenye Uhakika kwa mtumiaji.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Pesa, Cheo, Umaarufu, n.k. Sio vyote vinapatikana kihalali, kuna njia mchepuko ya kuvipata kwenye ulimwengu wa giza, Hata vitabu vya dini vmeandika Shetani anaweza kufanya hayo ila ni kwa masharti...
0 Reactions
7 Replies
557 Views
Doh! Sio Mchezo Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United cha bao 3-1 kimetumika darasani kama somo la kusoma kwa wanafunzi wanaojifunza Kiswahili. Soma, Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora...
1 Reactions
4 Replies
731 Views
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula ametoa rai kwa Uongozi wa Mkoa wa Rukwa kuendelea kushirikiana na Wizara katika kuhamasisha wadau na wawekezaji waliopo katika Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
hellow weekend SIkuizi malezi yamekuwa mabaya sana sana sijui ni uzungu kipindi chetu nilikuwa naenda shule mwenyewe na narudi mwenyewe wakati uho nina miaka 6 na napajua nyumbani na najua...
5 Reactions
13 Replies
895 Views
Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na...
17 Reactions
99 Replies
5K Views
Wakati pilikapilika zikishika kasi kwa wanaotajwa kuanza kampeni za chini kwa chini kutaka kuwania ubunge jimbo la Moshi mjini hapo mwakani,makada wa Chama hicho wameibuka na kisisitiza kuwa bado...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Wakuu Naomba kujua Huyu Ndugu, Anaweza saidika Vip? Alikuwa amesafiri kwao huko kijijini, sasa Juzi amerudi Dar,sasa akaanza mchakato wa kuomba AVN number , kila akiingiza details zake anambiwa...
1 Reactions
3 Replies
558 Views
Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Back
Top Bottom