Wakuu,
Huko Botswana inaonekana vijana wamezidi kupewa nafasi kwenye masuala ya uongozi.
Lesego Chombo, aliyewahi kuwa Miss Botswana, ameteuliwa kuwa Waziri mpya wa Masuala ya Jinsia na Vijana...
Juzi hapa niliweka thread ikiishauri serikali, hususa Raisi Samia, kutoa tamko ambalo lingezuia mara moja utekaji na uuaji. Kama kawaida ya hii serikali yetu, naona hawajali kuchukua hatua kama...
Juzi kati mh mkuu wa mkoa wa Dar aliruhusu matumizi ya njia za mwendo kasi kwa zile barabara ambazo bado hazijaanza tumiwa na mabasi hayo.Ila cha kushangaza maeneo ya stesheni kumekuwa na...
Habari za mida waungwana,kuna mdau mmoja niliona alirecomend app ya movie box kwamba ni nzuri na simple, ni kweli nimeikubali ipo vzr, shida ipo kwenye subtitles huwa kuna baadhi ya movie...
"TULIKUA TUNAZUNGUMZIA CHANGAMOTO TULIZOPITIA MIAKA YA NYUMA"
Kutokana na taarifa iliyotolewa inayodai kwamba wanawake wa kijiji cha Oltepes Longido hutumia mikojo ya ng'ombe kujisafisha wakiwa...
Dkt. Wilbroad Slaa, Mwanachama na kiongozi mstaafu wa CHADEMA amedai kuna hali ya sintofahamu ndani ya chama chake cha zamani.
Ameamua kusema kuwa CHADEMA inatamka mambo makubwa, lakini vitendo...
Nakiri wazi kuanzia leo nikikuta mwizi anamalizwa takaa niangalie roho yangu iridhike.
Nimeibiwa rim 2 mpya za gari, PS 4 na laptop. Maumivu nayosikia yanafanya niwaze vitu vingi sana huku ni...
Top 10 Most Peaceful Countries in Africa-Tanzania haimo-Can you believe it?
1.Mauritius 2.Botswana 3.Ghana 4.Angola 5.Zambia 6.Namibia 7.Lesotho. 8.Morocco 9.Madagascar 10.Sierra Leonne.
Je...
Ndg zangu katika JF Napenda nianze kwa kuomba msamaha kabla sijakosea ili ikitokea nimekosea basi ndg zangu msiniadhibu kwa maneno makali. Ndugu zangu mimi nimekuwa nikijiuliza maswali...
Nimepitia maeneo na kusikia tunasemwa kuwa sisi watanzania huwa ni waoga sana, mkusanyiko huu ulikuwa unajumuisha watanzania na wengine wa mataifa jirani na kwetu, walichosema ni kwamba ikitokea...
Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada husika, baadhi ama asilimia kubwa ya sisi watanzania tumekuwa waoga sana kwenye nyanja mbalimbali. Napenda kusemea kwenye nyanja ya hawa viongozi wetu, binafsi...
May all souls find enlightenment,
Kama unaupenda uzao wako na ungependa kuwaepusha na hekaheka kamwe usimpeleke mtoto wako upolisi.
Kwa uzoefu wetu sote tunajua jinsi baadhi ya Polisi kuwa ni...
Tuseme tu ukweli! Ka tinted! ni kaugonjwa ketu wengi!
Sina maana huu uzi niwakuwatambia hapana; siyo lazima niwe na kagari ili kuifurahia tinted, bali hata napopewa lift tu madhila, kero na utamu...
Karibu SANA Jimboni limpopo katika municipal ya polokwane (pietersburg) ni mji mzuri sana watu wengi wanafanya matendo ya kumpendeza Yesu yani matendo matakatifu kama lilivyo Jina lake polokwane...
DODOMA
Kamishna wa Ardhi nchini Nathaniel Methew Nhonge amesema kikao kazi cha viongozi na watendaji wa sekta ya ardhi alichokiitisha Waziri wa Ardhi Mhe. Deogratius Ndejembi kimewarudisha...
Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na...
Ni Yule tajiri wa mabasi ya Zakaria yanayotoka Mwanza hadi Silari mpakani mwa Kenya, na kada mkubwa wa chama cha mapinduzi (ccm).
Wiki tatu zilizopita nilinunua mzigo wa viatu kutoka Kenya na...
Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko , watu wake ? Gharama za maisha zikoje
Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds
Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds...
Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe.
SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa...