Can you believe Tanzania is not among of the top 10 most peaceful countries in Africa?

JAMOS

Member
Jul 7, 2016
85
125
Top 10 Most Peaceful Countries in Africa-Tanzania haimo-Can you believe it?

1.Mauritius 2.Botswana 3.Ghana 4.Angola 5.Zambia 6.Namibia 7.Lesotho. 8.Morocco 9.Madagascar 10.Sierra Leonne.

Je, mnafikiri Kwa Nn?
 

kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,785
2,000
TTanzania amani itoke wapi wakati watu karibu wote ni maskini wa kutupwa na hakuna dalili wala mipango ya kuwasaidia
Unakumbuka wimbo "macho yana cheka moyo unalia"?
 

Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,215
2,000
Ni watu kama wewe ndiyo wanafanya tafiti hizo na ni kwa manufaa fulani na siyo lazima wawe sahihi
 

Ohooo

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
807
1,000
Amani itakuwepo mpaka pale huyu mdudu ccm atakopotoka madarakani. Angalia mfano Zambia, mpinzani anaweza kushinda uchaguzi na anaapishwa bila figisu figisu zozote. Hapa nchini ccm inapola ushindi wazi wazi kwa kutumia tume uchwara ya akina jecha na lubuva wakisaidiana na polisi huku kwa unafiki mkubwa wakiimba ccm inapendwa. Amani itatoka wapi hapo? Tanzania ni waoga sana afu wanaita Amani. "andamaneni muone nitakavyowashughulikia" by magufuli.
 

samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,538
2,000
Ifike pahala tutofautishe amani na utulivu... Tanzania kuna utulivu tu tena utulivu unaoletwa na washa washa na mbomu ya machozi ila hakuna amani... Amani ni tunda la haki na Tanzania haki haipo
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,536
2,000
Tanzania ukitaka kujua ina amani au hapana waulize Hawa:

1. DR S ULIMBOKA

2.ABSOLUM KIBANDA

3.FAMILIA YA D MWANGOSI

4.FAMILIA YA ALPHONCE MAWAZO

5.PAPII KOCHA

6.WAHARIRI WA MAGAZETI
 

sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
6,301
2,000
Top 10 Most Peaceful Countries in Africa-Tanzania haimo-Can you believe it?1.Mauritius 2.Botswana 3.Ghana 4.Angola 5.Zambia 6.Namibia 7.Lesotho. 8.Morocco 9.Madagascar 10.Sierra Leone. Je, mnafikiri Kwa Nn?
Kuiweka taarifa kama hii kama ya kwako inatunyima nafasi ya kuijadili.
 

Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,578
2,000
Hapo pana tafiti nyingi sana ila inategemea wanatumia njia ipi , vigezo na lengo la utafiti ( it depends on the methods with tools , criteria and objective for carrying a study.

Mimi binafsi nilikuwa naangalia report mbalimbali ila ya hivi karibuni tu ni ya mwezi JUNE 21, 2016 nimesoma kuwa Tanzania kwa hapa Africa ni ya 9 na duniani ni ya 54 kwa amani.

Angalia link hii hapa

VENTURES AFRICA: Global Peace Index 2016: These are the 10 most peaceful countries in Africa

Read more: http://vnt.rs/yre2c

Asante.
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
51,778
2,000
Ongezea Dr mvungi
Ova
Tanzania ukitaka kujua ina amani au hapana waulize Hawa:

1. DR S ULIMBOKA

2.ABSOLUM KIBANDA

3.FAMILIA YA D MWANGOSI

4.FAMILIA YA ALPHONCE MAWAZO

5.PAPII KOCHA

6.WAHARIRI WA MAGAZETI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom