Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za...
2 Reactions
10 Replies
695 Views
Wanabodi Japo hili ni Jukwaa la Siasa, unapozumgumzia mambo ya fedha, wengi wanadhani fedha ni uchumi tuu, kumbe sio kweli, fedha ni siasa, fedha ni uchumi, fedha ni jamii, fedha ndio kila kitu...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Mabinti wengi sasa wanejiajiri kutingisha makalio TikTok na Instagram huku wakionyesha sehemu za kwa vinguo vyao vya uchiuchi. Yote hii ni effects of poverty. Umaskini wa kichwani plus umaskini...
6 Reactions
20 Replies
980 Views
Inasikitisha sana! 1. Mtu "anatekwa" Mchana kweupe huku watu wakishangaa mithili ya nyumbu wa Serengeti? 2. Mtu anapiga kelele za kuomba msaada lakini hakuna hata anayejaribu "kuigiza" kusaidia...
1 Reactions
8 Replies
589 Views
Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana...
79 Reactions
499 Replies
77K Views
Wadau hamjamboni nyote? Chema chajiuza kibaya chajitembeza walinena wahenga Kwaya ya Kanisa la Waadvetista Wasabato kurasini dar es salaam imejizolea umaarufu mkubwa kutokana na umahiri mkubwa...
0 Reactions
5 Replies
578 Views
Nashauri serikali iondowe kodi kwenye peds na pampasi na zigawiwe bure kwenye shule zote za serikali na binafsi,pia hata kwa wenye mahitaji maalum. Kwa mfano kuna kijana wa kiume jirani yangu...
1 Reactions
7 Replies
518 Views
Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, hili somo tunalifundishwa tangu utotoni. Unatembea na simu nne, wallet, kipegi, pafyumu, kondomu — lakini huna hata kisu! Kwa mwanaume, silaha ni lazima. Kujihami...
10 Reactions
65 Replies
2K Views
Ujira kwa watoto bado upo, na hii inasababishwa na hali duni ya familia zao ambapo inabidi waingie nao mtaani kujitafutia riziki wakale wao na famila zao. ==================== Baadhi ya wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
498 Views
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan "Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale" Africa pote Masters degree inatambulika kasoro...
13 Reactions
152 Replies
9K Views
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda...
0 Reactions
1 Replies
635 Views
MMOJA wa askari wa bandari, Cornell Kufahaizuru aliyeshiriki operesheni ya kuzuia jaribio la wizi wa shaba na mafuta Bandari ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, juzi ametekwa na watu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu Najiamini naweza kufanya biashara. Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Siku ya leo Novemba 13, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa tamko kufuatia kifo cha Christina Kibiki, aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, mkoani...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA 'CRANE' YA NEW VICTORIA HAPA KAZI TU Mwanza, Tanzania. Kuna taarifa iliyochapishwa na mtandao wa kijamii ikieleza kuharibika kwa mtambo wa kubebea mizigo (crane) wa...
1 Reactions
0 Replies
683 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Unapokuwa na kampani ya watu katika mazungumzo yenu,endapo utapigiwa simu basi usiongee na simu kwa mda mrefu Unapoenda kumtembelea mtu, baada ya kitambo kidogo ukisikia mwenyeji wako anasema...
8 Reactions
10 Replies
599 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Nilipitia maumivu makali ya kimwili na kihisia mwaka huu. Nilishangaa sana "kwa nini mimi?" na "kwa nini mtu yeyote?" Ni vigumu sana kupata imani au upendo kwa ulimwengu huu wakati maumivu yasiyo...
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…