Msaada:Jinsi ya kupata Lipa namba ipi nzuri?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,768
Wakuu naomba nijuzeni utaratibu wa kupata lipa namba ya biashara

Jee ni ipi nzuri kati ya Lipa namba ya voda, tigo au airtel?Namaanisha ambayo ndo the best.

Jee gharama za lipa ni shilingi ngapi?

Jee inachukua muda gani hadi kuipata?
 
Ngarama zake, namaanisha makato yake, coz naona mtu atalipa Kwa lipa number then mm ninapozitoa Ili nikafanye manunuzi nakatwa Tena? Sikibiashara napata hasara? Let's say nimeuza Bia 5. Mteja analipa Kwa lipa number, na hizo bia kesho nahitaji kununua Kwa jumla nije niuze Tena, swala la faida hapo vipi?
 
Kwenye kutoa ni bure kabisa kwa hiyo huwezi kupata hasara.
Uko wapi?
 
Wakuu naomba nijuzeni utaratibu wa kupata lipa namba ya biashara

Jee ni ipi nzuri kati ya Lipa namba ya voda, tigo au airtel?Namaanisha ambayo ndo the best.

Jee gharama za lipa ni shilingi ngapi?

Jee inachukua muda gani hadi kuipata?
Sifa nida, tin Kama upo seriously Pm
 
Nitakupa mrejesho wiki ya kesho mimi mwenyewe naisubiri alinisajilia toka alhamisi akaenda nayo ofisini ili akakamilishe kila kitu na kile kibango chenye jina na namba ya lipa.

Nimejaribu kuitumia pesa hiyo namba kwa kawaida nimeona imegoma kwamba hiyo namba haipokei pesa, so inawezekana usajili umekamilika.
 
Ngarama zake, namaanisha makato yake, coz naona mtu atalipa Kwa lipa number then mm ninapozitoa Ili nikafanye manunuzi nakatwa Tena? Sikibiashara napata hasara? Let's say nimeuza Bia 5. Mteja analipa Kwa lipa number, na hizo bia kesho nahitaji kununua Kwa jumla nije niuze Tena, swala la faida hapo vipi?
Naskia ni nzuri sana
 
Ya voda au tgo
 
Ngarama zake, namaanisha makato yake, coz naona mtu atalipa Kwa lipa number then mm ninapozitoa Ili nikafanye manunuzi nakatwa Tena? Sikibiashara napata hasara? Let's say nimeuza Bia 5. Mteja analipa Kwa lipa number, na hizo bia kesho nahitaji kununua Kwa jumla nije niuze Tena, swala la faida hapo vipi?
Unaenda kwa wakala unaitoa pesa yote bila makato ila sharti lake ni kuwa unatoa mara moja tu kwa siku
 
Wakuu naomba nijuzeni utaratibu wa kupata lipa namba ya biashara

Jee ni ipi nzuri kati ya Lipa namba ya voda, tigo au airtel?Namaanisha ambayo ndo the best.

Jee gharama za lipa ni shilingi ngapi?

Jee inachukua muda gani hadi kuipata?
Ni bure kabisa,popote ulipo unatengenezewa. Check me
 
Back
Top Bottom