Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSA), CPA Gilbert Kayange, amefanya ziara ya mtaa kwa mtaa katika Jiji la Mbeya kwa lengo la kukagua miundombinu ya...
0 Reactions
2 Replies
350 Views
Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Miaka ya karibuni CHADEMA kimekuwa kikiitisha maandamano na muitikio wake umekua ni almost zero Wameibuka watu wengi wakilaumu chadema kwamba wanashindwa kuwashawishi watanzania bali ukweli...
10 Reactions
15 Replies
1K Views
Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Katika tathmini ya majiji yote kukua hutawai kuisikia Morogoro inakua au inategemewa kukua kutokana na miradi au vipaumbele vya nchi. Morogoro ipo katikati ya majiji mawili makubwa Dar na Dodoma...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Nimeona clip ya Mwanaume mmoja àmbaye alikuwa anatekwa Mchana kweupe pee, mbele za Umma. Ikitokea upo katika Hali kama hiyo. Fanya utakachofanya, pigana utakavyopigana, jitahidi...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za...
2 Reactions
9 Replies
883 Views
Sativa alisema alipelekwa Oyster Bay kwanza kabla ya mengine, kwenye mahojiano na Millard Ayo, mhudumu wa Hotel aliotaka kutekwa Tarimo anasema jamaa walipofika walisema kua wao ni askari wametoka...
4 Reactions
8 Replies
495 Views
Dogo kama huyu unaweza kuta miaka 7 nyuma baba yake alikuwa akifanya kazi shift mbili ili akidhi bills ila ona leo dogo anatupia mwilini kwake pesa ambayo robo tatu ya waafrika hawatakaa waishike...
1 Reactions
4 Replies
413 Views
Kisukari ni ugonjwa sugu unaoathiri mtu 1 kati ya 10 duniani kote. Husababisha kiwango cha sukari mwilini kuwa juu sana kwa sababu mwili hauzalishi insulini ya kutosha au hauwezi kuitumia insulini...
1 Reactions
2 Replies
865 Views
Matukio yaliyoendelea katika hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change iliyofanyika Septemba 21, 2024 katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Wageni...
2 Reactions
1 Replies
787 Views
Kwanza nilianza utafiti wangu usio rasmi katika maeneo ya Feri, Mbagala, Mabibo, Kimara, Manzese, Tandale, Mburahati, na maeneo mengine kadha wa kadha ya Uswahilini. Niligundua na kujua vingi...
27 Reactions
145 Replies
14K Views
Kituo cha Daladala Simu2000 kimefungwa leo Septemba 14, 2024 kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi. Karakana hiyo ni kwa ajili ya mradi wa mabasi hayo awamu ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona the citizen wanapost kuwa uganda ina import zaidi kutoka Tanzania kuliko Kenya kijuujuu hii ni habari nzuri lakini ukicheck una kuja kuta ni gold/dhahabu ndo inaongoza sasa naijiuliza...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wadau. Watumishi tuliohama mwaka Jana mwezi wa kumi na kupata vibali hatujahamishiwa taarifa zetu za mshahara mpaka Leo, Hali ambayo imepelekea kushindwa kuingia katika mfumo wa upimaji wa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu kwenye magroup ya whatsapp nimekutana na hii clip ikizungumzia hali ya vyoo eneo maarufu kama mafuvu eneo la hifadhi ya Ngorongoro barabara ya kuelekea serengeti, Naomba...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu. Mzazi...
0 Reactions
1 Replies
349 Views
UNENE NI UZEMBE.!! Kwanza kabisa nitashukuru sana ukink Follow on twitter soon nitaanzisha twitter spaces kwa hizi topics FOLLOW HAPA Kuna study ilifanyika mwaka 2022 na shirika linaitwa lancet...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Hii ni muhimu, watu hawajui hizi sheria za barabara in terms of upana wa barabara. Wanajenga kwa nian njema kuwa wako kwenye maeneo yao, kumbe ni road reserves! Itasaidia sana kuepusha majoniz...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
nilifungua akaunti ya mshahara katika benki tajwa miaka kadhaa iliyopita, mara kwa mara afisa mkopo akawa ananishawishi kuchukua mkopo, baada ya kuona kweli nija uhitaji wa mkopo ikabidi nianze...
7 Reactions
67 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…