Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Najiuliza kama kuna utaratibu huo kwa upande wa mamlaka za uhandisi nchini, kukagua majengo na kutoa certificate za ubora.
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Naomba usiniambie haiwezekani, tafadhali! Hiyo milioni kumi haitatumika kwa kazi nyingine zaidi ya kuzalisha hela nyingine, ili baada ya miaka mitano ziwe zimeshafika bilioni mbili. Ingekuwa ni...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa...
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Wanajamii, Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa Mohamed Mpakanjia aliyekuwa mume wa marehemu Amina Chifupa Mpakanjia hatunaye tena.Amefia hospitali ya Lugalo. Habari zaidi baadaye.
0 Reactions
312 Replies
60K Views
Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi...
15 Reactions
103 Replies
5K Views
Habari za muda huu waungwana, kutokana na ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho haya mataa ya hapa Korogwe, Bucha (kwa Thomas) nasikia hili jina lilikuja...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
UPWEKE UMEWAANZA VIJANA MAPEMA, UZEENI SIJUI ITAKUWAJE. NI JANGA KUBWA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi sema unafurahia maisha ukiwa pekeako. Mtu mpweke hawezi kuwa na furaha. Mpweke ni...
34 Reactions
151 Replies
8K Views
Isaya 65:24 Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu...
6 Reactions
11 Replies
647 Views
https://www.instagram.com/p/DCY756uK7gC/?igsh=MWV0Z2ljNmw2ODUy
3 Reactions
10 Replies
567 Views
Yatupasa Sasa Ili kuisaidia nchi ni lazima.kwanza kuhakikisha Machawa Wanafedheheka Wakomeshwa utopokwaji bila kutumia akili . Tukifaulu hapa Wale Wajanja wajifichao Wenye kuwatanguliza...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Nikaota ndotoni nikajikuta nasema: Diwani, Watu wanasema mengi juu yako. Eti wewe huna elimu ya kutosha kumudu uelewa wa mambo makubwa. Nakuomba, kwa kuheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
0 Replies
354 Views
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka Kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo.. Watu wa huku wanakatisha tamaa balaa...
30 Reactions
452 Replies
19K Views
Wakuu pamoja na wataalamu wa Mambo,bill kusahau ma-operator wa JF.Nimeshindwa kabisa kusoma jumbe kwenye PM maana haifunguki zaidi ya kuni-direct nifungue messenger na baadaye inaandika...
2 Reactions
5 Replies
436 Views
Habari zenu wakuu, Leo nataka niandike maneno kadhaa kwa vijana wenzangu tunaojitambua. Naandika kuhusu vijana wanao jitambua namanisha wale walio na uchu wa mafanikio na wenye ndoto ama malengo...
36 Reactions
97 Replies
9K Views
Umasikini umefungwa ndani ya fikra na akili ya mtu. Wazazi kama fikra zao ni za kimasikini huwa na uhakika uzao wake wote watakuwa masikini. Katika jamii ninayoishi kuna watoto wengi ambao...
6 Reactions
16 Replies
989 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni wenye elimu na wanazuoni Niwatakie usiku mwema
0 Reactions
8 Replies
486 Views
Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) kimeingia kwenye mgogoro mkubwa na wapangaji wake zaidi ya 450 baada ya kuwapatia notisi ya kutakiwa kuhama katika nyumba zao ndani ya siku 60 hadi...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Watumiaji wa barabara iliyopo Kata ya Oldonyowasi, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, wamedai kuwa wakiwa wanapita na usafiri wa magari na pikipiki katika barabara hiyo wamekuwa wakitozwa shilingi...
0 Reactions
5 Replies
924 Views
Itashamgaza kama bado wakati sura zao zimeshafahamika! 1. Wameshakamatwa? 2. Wako wapi? 3. Watakamatwa? 4. Polisi wanahitaji usaidizi wowote? PIA SOMA - Dar: Inasemekana tukio hili la...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom