Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

INASEMEKANA MAGHOROFA MENGI KARIAKOO YANATUMIKA KINYUME NA PLAN YAKE YA UJENZI.. GHOROFA linakuwa limejengwa kwa plan ya makazi hizo floor za juu lakini Kariakoo zinageuzwa kuwa magodauni ya...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama mtembezi wa mtaani nimeshuhudia jambo ambalo limenishangaza na kunistaajabisha kwa wakati mmoja na hii ni mara ya mbili kuliona hapa vingunguti je ni jambo gani? Kaa chonjo. Ni hivi ndugu wa...
2 Reactions
68 Replies
3K Views
Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa💔🕊
10 Reactions
57 Replies
3K Views
KIGOMA Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amesema uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya Tanzania na Burundi ni ishara ya ujirani mwema na undugu kati ya serikali na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Imagine ni weekend unataka kuondokana na madeni ya tamisemi mintarafu maegesho. Unaingia kwenye mfumo wao na kuanza kupachipa namba za gari zako (za kampuni). Mfumo unakwambia kuna hitilafu na...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la...
25 Reactions
91 Replies
6K Views
Kila kona ya nchi watu wanalalamikia mfumo wetu wa elimu. Kama ni elimu ya vitendo hata VETA ipo. Je, wewe ungepewa nafasi ya kubadilisha mfumo wa elimu ungefanya nini?ungeboresha nini? Weka...
0 Reactions
6 Replies
430 Views
Kwema, jamani wanajukwaa huyu waziri aliyetangaza watu wenye vyombo vya moto kutumia Barabara za mwenďokasi kaleta balaa ingawa yeye alimaanisha Barabara zile ambazo hazijaanza kutümika. Kama...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni...
2 Reactions
7 Replies
652 Views
Ndoa na kuoa ni jambo zuri na la heshima na MTU kupata mazishi ya heshima pia ni jambo zuri . Ila huwa nafatilia vifo vingi hasa katika familia masikini vinatokana na ukosefu wa fedha za...
12 Reactions
31 Replies
1K Views
Oneni hapo[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]mtandao wahovyo duniani ndo huu sasa 450kbps na hapo ni 4G na hapo natumia simu kali kabisa ya kimarekani maana watu hawakawii kusema labda...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Huu uzi ilikuwa niuandike muda mrefu kwa mambo niliyojionea kwenye mji wa Tunduma. Kwa ambao hajawahi fika Tunduma wanaweza kudhani ni ka-mji kadogo ambacho kipokipo tu. Kwa sisi wa Arusha...
68 Reactions
415 Replies
49K Views
Kuna watu wameumbwa tofauti na wana mioyo ya huruma. Huyu dada anaitwa Niffer naona amefanya jambo la kiungwana tu na amesukumwa na nia nzuri. Sema tu shida labda hakuweza kuijua sheria ya mambo...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Serikali kupitia Bunge wapo katika mchakato wa kuifanya Shiriki la Utangazji Tbc Kuwa Taasisi itakayojitegemea na kufanya Biashara, Kwa Mujibu Sheria ya Sasa Tbc inatamburika kama Shirika Ła...
8 Reactions
11 Replies
863 Views
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy? Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe. Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000. BAAADHI YA MICHANGO...
7 Reactions
71 Replies
6K Views
Wana Jf mko poa? Aisee wale wenzangu namimi wa sekta binafsi, tuambizane kama nyie mna Afya ya akili makazini kwenu. Picha linaanza unaingia ofisini saa2 unaondoka saa11, ni lazima sio matakwa...
11 Reactions
115 Replies
4K Views
Kuna wimbi kubwa la vijana wa wa kutoka vijiji vya Msowelo, Ruhembe, Kidodi, Nyamvisi na Ruaha, kuja kwa wingi mjini Dar es salaam kwa kutafuta maisha kiasi ambacho kwenye ivyo vijiji hakuna tena...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Huyu shekhe anayejiita mwaipopo anafanya waislamu wote tuonekana hatuna akili sasa yule padri wa katoliki anaongea vitu vya ukweli na sahihi halafu yeye anakuja front na kuja kutuambia takataka...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Newton First law of Motion..... An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!! kwa...
18 Reactions
47 Replies
2K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. 1. Zije tipper trucks 10, mizigo yote iliyopo ndani ya jengo na nje ya jengo yote itolewe. Hili zoezi lingeweza fanyika toka jana, ila limezembewa, huwezi fanya...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom