Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kinachonisikitisha hivi kwa nini hivi sasa you tube haifai kuangalia na watoto, maana hakuna unachoweza kukiangalia kwa amani, najiuliza hata watoto wetu wanajifunza nini hasa. Yaani unaweza...
3 Reactions
16 Replies
582 Views
Biashara ya Taxmtandao, yani bolt na uber, farasi na nyingine nyingi zinazidi kukua, lakini naomba kuzungumzia biashara ya BOLT. Kuna maswali naomba tujadilieane na madereva wa uber hasa wenye...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
18 Reactions
56 Replies
2K Views
Tarehe 16 Novemba 2024 eneo la Kariakoo Dar es salaam kulitokea tukio la kuporomoka kwa jengo la biashara. Wakai jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi kuhusiana na jinsi ya...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine...
0 Reactions
2 Replies
626 Views
Kwenye ulimwengu wa roho sio wote wafao hufa kikwelikweli .....hasa hawa wa vifo vya ajali na ghafla...hivi ni vifo vyenye mikono ya watu. Ni katika kundi hilo ndio kuna wale wanaochukiwa...
20 Reactions
48 Replies
5K Views
Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi...
48 Reactions
100 Replies
18K Views
Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi...
2 Reactions
15 Replies
868 Views
Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa...
7 Reactions
77 Replies
3K Views
Kwema wakuu Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi...
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Ni vitu vichache sana navifurahia mkoani mfano unaweza kuamka saa moja kwenda kazini na hali ya hewa nzuri. Inshort huku mikoani ukiunganisha na majiji mengine ni vijiji vikubwa. Ni ngumu sana...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, ametoa siku saba kwa wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 wilayani Muheza mkoani Tanga, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
489 Views
Mwezi Septemba mwaka huu bull dozer ilikuja mtaani kwetu na kutifua barabara tangu siku hiyo halijawahi kurudi japo kusawazisha. Barabara mbaya ina matuta haijawasazishwa tunapita kwa tabu sana...
0 Reactions
4 Replies
490 Views
Siku za hivi karibuni eneo la Mbezi Beach Africana kutokea Tegeta mpaka Mataa ya njia panda ya Kawe kumekuwepo na foleni kubwa ambayo imekuwa kero kwa watumiaji wa 'Bagamoyo Road' hasa wanaoelekea...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Katika mfululizo wangu wa maelezo, nitapendelea kutaja baadhi tu ya taasisi za serikali yetu ya Tanzania, ambazo vitengo vyake vya UHUSIANO WA UMMA NA MAWASILIANO vinajitahidi mno katika kutoa...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
VIASHIRIA VIKUU VYA MWANAUME ANAYEKUPENDA. Anaandika, Robert Heriel. Kutokana na Wadada wengi kunifuata PM kuniuliza "watajuaje mwanaume anayewapenda?" Nikaona isiwe kesi niweke hapa ili kila...
15 Reactions
37 Replies
13K Views
Kumekuwa na mitazamo ambayo inaambatana na lawama kutoka kwa watu tofauti tofauti wakiendelea kuwalaumu ndugu zao au wazazi wao eti kwanini wamekuja mjini hasa Dar es Salaam miaka ya nyuma ambayo...
2 Reactions
3 Replies
463 Views
Habari wakuu wa Jf poleni na majukumu ya kazi na simanzi ya Janga letu la pale Kariakoo. Ukifuatilia muenendo wa Vita huko Gaza ni dhahiri kabisa nafsi yako itakuuma na Mauwaji ya haraiki kila...
0 Reactions
5 Replies
462 Views
Nahisi kama Dompo imechakachuliwa pia. Hii ni kwa sababu ya reaction ninayo ipata baada ya kunywa dompo. Tangu nimeacha kunywa beer mwaka 2019 nimekuwa nikitumia zaidi wines kutoka nje ya Tz...
3 Reactions
3 Replies
623 Views
Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto...
3 Reactions
2 Replies
639 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…