Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Ernest Lwila (30) kulipa faini ya TSh5 milioni au kutumikia kifungo cha miezi sita gerezani, baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kutumia laini ya...
Kwa jinsi navyochukulia huwa naona makampuni haya yana pesa nyingi kwasababu huwa wanafaidika kupitia marejesho kausha damu na mtu asipolipa wanachukua assets zenye thamani kubwa zilizowekewa...
Hali ya uchumi imekuwa ngumu, na zamani, wanamama waliweza kukaa nyumbani na kulea watoto wao vizuri kwa kujishungulisha kwa biashara ndogondogo ana kuweza pia ungalia na kuwa na muda mrefu na...
Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice.
Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita...
Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga...
Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata...
Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi...
Napenda Leo nitoe ushuhuda katika karma.
Mimi Babu yangu alikuwa ameajiriwa na serikali ya wakoloni na baadae serikali ya Nyerere.
Babu yangu alikuwa MTU wa kujitoa Sana alihakikisha...
Naomba kusainiwa ndugu zangu hivi hizi jumuiya na seli za wakristo lengo lake hasa ni nini? Mbona sioni cha ziada, zaidi ya michango na kufokewa?
Hizi jumuiya na seli zimekuwa kama vile mtego kwa...
Watanzania huko tunakoelekea siko kabisa turejeshe mioyo ya kupendana
Tuzidi kumuombea uponaji wa haraka Mh Abdul Nondo huu ujuwaji wa kujifanya Matomaso hautatusaidia chochote
Mlale Unono 🐼
1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu.
2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi...
Naomba uzi huu kubaki hapa bila kuingwa utasaidia mnoo
Kabla ya maelezo mengi kuna msemo usemao
Immigration officer have a right to your visa application denial without giving out reasons,
Watu...
Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani.
Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani.
Leo asubuhi nimekutana na jamaa...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia...
Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo...
Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1)
eneo la kazi ni Arusha Tanzania
Sifa zake
1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali...
Naombeni msaada wandugu.
Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi.
Natanguliza shukrani.
Nakumbuka, ilikuwa katikati ya miaka ya 90 nikiwa nasoma katika moja ya shule za sekondari katika moja ya wilaya zilizopakana na nchi za Rwanda na Burundi.
Ikumbukwe ni katika miaka hiyo...
Ruhusuni mfumo ambao pesa ikiingia kwenye simu ya lipa namba itoe notification kwa simu nyengine pia. Mfano nina lipa namba moja ila watoa huduma watatu nahitaji hao watoa huduma watatu wapate...
Ushauri tu
Kwenu
Maaskofu wakuu
Wapendwa wasaidizi wa maaskofu
Anzeni vikao vya kuambiana
Kuzikana sio lazima wawe wah ama wafanyabiashara ama wanaotoa sana kanisanii
Mnaposikia misiba ya...