Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ajali imetupa majonzi makubwa Ajali hii imetupa funzo kuanzia kwenye chanzo, Kwa maana ujenzi na mamlaka zake Uwajibikaji, hapa nazungumzia vibali vya kujenga majengo marefu, Ya nazingatia...
2 Reactions
0 Replies
360 Views
Watu wasiojulikana wametekeleza tukio la mauaji kwa kumuua Isack Mallya (72) mkazi wa Kijiji cha Umbwe Onana, Kata ya Kibosho Magharibi mkoani Kilimanjaro na kisha kutelekeza mwili wake nje ya...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wasalaam. Kifo ni ahadi ya wote. Mhubiri 7:2. Aheri kuiendea nyumba ya matanga,kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa binadamu wote, naye aliyehai atautia moyoni mwake...
1 Reactions
0 Replies
376 Views
Sina hakika kama tunaweza kugombea tena hii nafasi ya WHO aliyopata mpendwa wetu marehemu Dr. Ndugulile na kama tunatuhusiwa kugombea tena kuna huyu Dr Peter ******* wa pale Jakaya Kikwete...
3 Reactions
13 Replies
775 Views
Mwanzo kabisa, nikusalimieni, hope nyote ni wazima na wagonjwa mungu akuzidishieni wepesi katika afya zenu ili muendelee na majukumu yenu ya kila siku Pasi na kupoteza muda, niende kwenye lengo...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Huwa najiuliza kipindi kile tunahoji utitiri wa tozo na makato kwenye mitandao ya simu inavosababisha maisha magumu Kwa Watanganyika Mwigulu alitujibu tuhamie Burundi Hii kidplomasia ipoje...
2 Reactions
3 Replies
608 Views
Tanesco Tanesco Tanesco Nimewaita mara tatu kuomyesha Msisitizo. Hii wilaya ya Nachigwea mkoa wa Lindi kwanini mnakata umeme mara nyingi kiasi hiki na Bila Taarifa kamili. Mfano leo mshakata...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Mkuu wa wilaya ya Karagwe Kalanga Lisser,amedhibitisha kutokea ajali ,katika eneo la Kiyanga wilayani humo. Dc Kalanga,ameongea na kasibante radio Bukoba,ambapo amesema kuwa kwa sasa hawezi...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha...
54 Reactions
315 Replies
14K Views
Umaskini unachosa sana, umaskini unadhalilisha sana, umaskini ni wa kuichukia na kuikimbia, umaskini haufai hata kidogo, kwenye maisha kuna walio bahatika kushika pesa chini ya miaka 30, lakini...
5 Reactions
3 Replies
452 Views
Hii ndo maana halisi ya neno yas sio hiyo mnayo sambaza na kupromo uchoko!
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa Serikali yao inafanya kazi nzuri au nzuri...
1 Reactions
3 Replies
483 Views
Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika) na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Novemba 3, 2024 katika Makaburi ya Mwongozo yaliyopo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu. Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Tuanzie na mifano michache kabla ya kuelimishana juu ya USTAARABU: Mfano wa matumizi ya kifungashio:Mtu ananunua bidhaa, akisha kuitumia, kifungashio chake anakitupa sehemu yoyote ile, mfano...
0 Reactions
10 Replies
805 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa katika mikoa minane kuanzia leo Jumanne, Desemba 3, 2024. Mvua hizo katika mikoa hiyo ya Dodoma, Singida, Mbeya, Iringa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hata wakati wa Mtume, mateso yalikuwa makubwa lkn uislam umeenea licha ya mateso. Mfano 1. Bilal bin Rabah (R.A) Aina ya Mateso: Kupigwa vibaya. Kulazwa kwenye mchanga wa moto wa jangwani huku...
4 Reactions
6 Replies
736 Views
Na Dada Fridah Nakazwe 1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia...
14 Reactions
10 Replies
2K Views
Vitendo vilivyoripotiwa vya ulaghai kwenye mitandao ya simu vimepungua kwa asilimia 28 kati ya Juni na Septemba mwaka huu, kutokana na hatua kali za serikali na kampeni za kuongeza uelewa wa...
0 Reactions
12 Replies
718 Views
Back
Top Bottom