Hatimaye mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida aliyetarajiwa kufufuka, umezikwa leo Desemba 6, 2024 katika makaburi ya Mlolo Manispaa ya Iringa.
Mwili wa...
Serikali imeamua kufanya maboresho ya vyoo vilivyopo katika Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wamezoea kukiita Hospitali ya Sokoine baada ya kuripotiwa kuwa havipo katika mazingira...
Nchi za Brics juzi hapa zilikuja na mpango wa kuanzisha sarafu yake na kuachana na matumizi ya Dollar kwenye miamala yao. Wiki iliyopita Trump alitishia kuwawekea vikwazo BRICS kama wataendelea na...
Kama una familia ni muhimu sana kuwa na life insurance (bima ya uhai) ili kupunguza machungu kwa unaowaacha duniani pale unapofariki. Kiwango cha majonzi katika misiba kinachangiwa pia jinsi...
Kwanza nalaani haya mauaji yote
Mauaji yote chanzo ni hapo Tegeta
Wananchi kuchukua sheria mikononi na kuuwa sio jambo zuri, wote tunalilaani
Mzee Kibao alikufa Toka mwezi September hadi Leo...
Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...
THE HISTORY OF CHIBUKU BEER.
Chibuku was the brainchild of a German man who did business in Kitwe. He was the man who actually built the original Nkana Hotel.
His name was Heinrich. Heinrich...
Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu.
Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa...
Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo
Malaika ni nani
Neno la Mungu huwaeleza malaika kuwa roho wenye uwezo mwingi sana, na roho haionekani kwa macho ya binadamu (1Wafalme 22:21; Zaburi...
Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii!
Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) leo imepokea ziara ya Naibu Waziri Msaidizi wa Shirika la Kimataifa la Dawa za Kulevya na Masuala ya Sheria (INL), Maggie Nardi, pamoja...
Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi.
Je jambo hili linawezekana kisayansi?
Tanzania ilijitoa rasmi kwenye Mkataba wa Kukubali Mamlaka ya Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika (AfCHPR) mnamo Novemba 2020. Sababu kuu zilizotajwa ni pamoja na:
1. Matumizi Mabaya...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea utaratibu wa uwekaji wa Vizuizi na vituo vya ukaguzi barabarani bila kuzingazia tahadhari ya usalama kwa watumiaji wengine wa barabara.
Waziri Mkuu amekemea...
Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how?
Ni kwamba zile sehemu zote za parking za...
Ilikuwa siku ya Ijumaa, tarehe 01, desemba 2001, katika uwanja wa mashujaa mjini Moshi tulipokutanika wanafunzi wa kidato cha pili katika kilele cha siku ya ukimwi duniani. Shughuli zilikuwa...
Wanaume wilaya ya Rombo walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao bila ridhaa yao.
Wakuu sikilizeni wenyewe.
=====
Wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, Wilaya ya Rombo, Mkoani...
Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila...