Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo...
WAZIRI AWESO ANADI MIRADI YA MAJI KOREA
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi litaendelea kushughulika na wanaojifanya kuwa askari au watumishi wa umma huku wakitumia kigezo hicho...
Bwana Erick Lucas Simtengu [24] mkazi wa Kijiji cha Mbugani Wilayani Chunya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya...
Mimi ni mmoja wa madereva wa magari makubwa ya mizigo, pia ni mmoja wa waathirika wa changamoto ya mkwamo wa magari ambayo imetokea Kasumulu eneo la mpakani kati ya Malawi na Tanzania.
Kwa muda...
Wakuu,
Muliro umeuliza swali la rahisi tu mtu anaruhusiwa vipi kukamata mtu bila polisi? Unakimbilia kuanza kuuliza vifungu.
Kwahiyo maafisa TRA waha haki ya kuarrest mtu? Na wakimkamata...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo...
Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa.
Kwako mwalimu...
Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.
1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia.
2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa...
Dogo huwa ana akili fyatu japo darasani ana uwezo, ila hivi karibuni kanipigia cm na kunambia kwamba soon kuna lecturer atamg'oa meno sababu huwa anamletea pigo za kindonyo, ameanza kuvuta cha...
Tukisema ni ubaguzi nitakuwa nimekosea?
Kuna kasumba huku mkoa ninao ishi kuna ubaguzi ambao ndugu zangu wa upande wa pili yaani wakristo wanaufanya siandiki kwa ubaya wala ugomvi na mtu fulani...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wakazi wa kata tajwa hapo juu wanaishi kwa mateso makubwa toka mwaka 2023 mpaka leo baada ya kufanyika tathmini ya uwanja wa ndege Kigoma na kutokulipwa...
Salaam.
Kwangu mimi nahisi roho ikiacha mwili basi inakutana na kiza kinene na ukimya wa maisha, nafsi na roho yako itakuwepo na inaweza kufika mbali sana, mfano inaweza kufika sayari ya Pluto...
Si vyema kuwa na mahaba na dini yako mpaka unapitiliza mipaka ya utimamu wa kawaida wa akili(common sense) na kugeuka kituko.
Naona mitandaoni baadhi ya watu wanakazana kusambaza taarifa ya Kim...
Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri.
Inakuaje mtu anasikia raha kuvaa nguo isiyomfiti, inayomshughulisha muda wote akiwa ameivaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.