Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

To cut the story short watoto tupo sita rika ni 30 hadi 40, wengi tayari tunaishi mikoa mingine sababu tumeajiriwa serikalini Mzee alifariki 2015, Bi Mkubwa 2023 Pale mjini kuna nyumba mbili, ya...
4 Reactions
13 Replies
909 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hizi ni sababu zangu 100 zitakazonifanya nimchague Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa 2025, zingatia kuwa hizi ni sababu zangu binafsi na siyo sababu zako. 1...
2 Reactions
72 Replies
2K Views
Maono kuelekea Tanzania isiyo ya kidemokrasia: Watanzania demokrasia nchini itakapo toweka kwasababu ya watu wenye tamaa za madaraka kinyume na utaratibu tulioweka wengi wenu mtakufa na kutekwa...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni...
1 Reactions
3 Replies
466 Views
Maafisa wanne wa juu wa kampuni ya Barrick wamekamatwa na serikali ya nchini Mali kwa tuhuma za kampuni hiyo kutokulipa kodi stahiki. Maafisa hao wanashikiliwa tangu Novemba 26 mwaka 2024 na...
1 Reactions
3 Replies
519 Views
Wajameni Siyo sipendi waongee No Nisieleweke vibaya. Ila ningependa kujua kimetokea nini kwann waganda sasa wameanza kupromote kiswahili kwa kasi tena kwa kampeni utafikiri ni kitu kipya...
4 Reactions
19 Replies
955 Views
Na Mwandishi Wetu. WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali ya Awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombinu ili sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Watu Milioni 32 sawa na asilimia 53 ya watanzania wakamilisha chanjo dhidi ya Uviko-19 WIZARA ya Afya imesema kuwa hadi kufikia Desemba mwaka jana jumla ya watu Milioni 32.5 ambao ni sawa na...
0 Reactions
4 Replies
641 Views
06/12/2024 Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba G Ruhoro kwa ushirikiano na Ofisi ya Kilimo Wilaya wameshiriki kumkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi na umaliziaji wa soko la...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Kuna sintofahamu inaendelea kuhusu Kampuni ya Mapembelo Cargo ambayo najihusisha na usafishaji wa mizigo, wamekuwa kimya sana kuhusu mizigo ya wateja wao. Kuna Wafanyabiashara na Watu wengine...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo La Ufaransa (AFD) wamesaini mikataba minne (4) yenye jumla ya euro milioni 118.8 sawa na takriben shilingi bilioni 323.4 kwa ajili kutekeleza miradi...
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imewahukumu kunyongwa hadi kufa Emanuel Patson Mwesya [24] na David Saimon Mwalindu [25] wote wakazi wa Mji wa Tunduma Mkoa wa Songwe baada ya kukutwa na hatia kwa kosa...
1 Reactions
6 Replies
956 Views
Kuna haja ya serikali na TCU kuangalia vigezo vya kutoa hadhi za Vyuo . Nini maana ya Chuo Kuitwa Chuo Kikuu harafu kinaendelea kutoa Kozi za Vyeti? Mfano Udom.👇👇
2 Reactions
2 Replies
310 Views
Habari wakuu. Kichwa cha habari cha husika sana Wakuu mwenye hearing aids (Mashine ya usikivu) naombeni mnisaidie. Nimeshindwa kununua kutokana Na gharama wakuu mwenye kunisaidie tafadhari...
8 Reactions
78 Replies
10K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni umefanya uzinduzi wa Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambao umebeba kauli mbiu isemayo Kuelekea Miaka thelathini ya Beijing Chagua...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Katika mfumo wa kisiasa wa Iran, kuna mgawanyo wa mamlaka kati ya Ayatollah (au Kiongozi Mkuu wa Kidini) na Rais, lakini mamlaka ya Ayatollah ni makubwa zaidi na yanashika nafasi ya juu kabisa...
1 Reactions
4 Replies
922 Views
Katika kipindi cha mwezi Novemba, 2024 jumla ya watuhumiwa wa makosa 97 wa makosa ya mauaji, kujeruhi, kupatikana na dawa za kulevya, kuingia nchini bila kibali na kupatikana na silaha bila kibali...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
R.I.P. Mwalimu, Engineer Aliasante Mwakalinga. Ulikabidhiwa na baba nikiwa na miaka 13 tu. Baba alikuambia, "Huyu mtoto anafumua umeme, anaharibu waya za nyumba, TV na redio, anazifungua kutaka...
7 Reactions
3 Replies
574 Views
Back
Top Bottom