Kwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police...
Leo tunaanza rasmi Siku 16 za Kampeni Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia, tukiungana na dunia kuendeleza harakati za kumaliza ukatili dhidi ya wanawake na wasichana.
Kaulimbiu ya mwaka huu, ‘Towards...
Kwa mujibu wa takwimu za kibiashara,Rwanda imepunguza kuagiza bidhaa kutoka Tanzania Kwa takribani asilimia 60% na kuanza kuagiza bidhaa kutoka Kenya Kwa Wingi zaidi.
Yaani Kenya ambayo Haina...
Kwa jinsi ilivyo wizara ya mambo ya ndani kuwa na hekaheka za matukio ya kihalifi nadhani wizara ya mambo ya ndani ilipaswa iwe na mtu mkali. Ukali wenye maana na kwenye mambo ya msingi.
Kimsingi...
Nlikuwa natafuta kagari kadogo kavits kwa ajili ya shuhuli za kaz kuzungusha oda mjini nikaweka bejeti nitafute kagari cc ndogo ili kanisaidie kusambaza oda zangu hata kigari cha 4.5 m sawa...
Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya...
Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache...
Habarini JFcians!
Kutokana na mitazamo ya wengi kuhusu watu wa pwani, watu wa pwani wanachukuliwa kama ni weak kiakili na hata kiuchumi.
Jambo linalonishangaza mpaka leo hii ni hili la Mkwere na...
Kwa kuwa hii sheria imeshaanza kutumika sioni sababu ya kumfumbia macho huyu Balali wa Twitter.
Tunajua Balali ameshakufa, sasa anachokifanya huyu wa Twitter ni upotoshaji na kama mtanyamaza basi...
Tanzania ni nchi tajiri katika rasilimali asili, ikiwa na madini mengi ambayo yanaweza kuleta utajiri mkubwa kwa taifa na wananchi wake. Hata hivyo, hadithi ya utajiri wa madini nchini imekuwa na...
Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la...
Mimi ni Mfanyabiashara wa Soko Kuu la Chifu Kingalu ambalo lipo Manispaa ya Morogoro, katika soko hili kuna changamoto kubwa hasa kuharibika kwa taa, swichi za feni pamoja na masinki ya kunawia...
Hifadhi ya Mlima Lihanje ni chanzo pia cha maji kwa Wakazi Kata ya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Pamoja na faida hiyo kuna uharibifu unaoendelea wa kuendesha shughuli za kilimo...
Mpaka unasoma uzi huu natumaini uko njema kiafya.
Siku hizi mjini wimbi kubwa lawatu wenye pesa nivijana. Vijana tupeni siri mnatoa wapi hizo pesa?
Sawa unaduka ila mbona umepanga kadeti chache...
Kuna imani ilianzia Marekani huko miaka ya 1960s, imesambaa hadi Tanzania, Arusha nimeona wapo na pia DSM na maeneo mengine ya nchi, hii ni imani ya Branhamites, wafuasi wa mtumishi mmoja wa Mungu...
Wakubwa wawenzangu nawasalimia
Nimepokea simu asubuhi ya leo kuhusu mwanangu wa kiume nimeabiwa alikuwa klabu jana usiku, hulitokea ugomvi na mwezake,walikuwa wanagombania wanawake
Purosipa...
Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia:
1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini!
2. Marufuku...
Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko...