Kuna ukweli kwenye hili?
Anasema kuwa:
1. Anasema mpaka sasa mbona tukisema tunaenda kuangalia majengo ya kale tunachokiona ni kazi ya mwarabu na mzungu, sisi ngome zetu zenye ubora kama ya...
Je, Professor anaweza Kuwa Chawa?
Kama ndio, Uchawa unamsaidia nini kwa level ya kitaaluma aliyofikia?
Je, kwake Uchawa itakuwa ni Baraka au Laana?
Ahsanteni sana 🐼
Wadau wa mazao msimu wa korosho umeanza na umeanza vzr , nazn n vyema tukatumia forum hii kupeana update huko mnadani nini kinaendelea
Naomba taarfa za bei za minada ziwe rasmi kuepusha mislidi...
Hili jambo limenikuta maana kuna ndugu yangu amefariki tangu Alhamisi iliyopita, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa...
Na tunavyoendelea niwajuze tu wanaenda kwenye kinyanganyiroo na members kadhàa wa nchi kadhaa.
Rais atakaeenda kumrithi Hon Ndungulile atatokea Rwanda.
Siandiki kwa chuki naandika kwa uhalisia...
Masheikh na vijana wa kiislam walioingia kichwa kichwa wakidhan maeneo mbali mbali ni vita ya dini ila ukweli.
Leo ni ajabu neno jihad na friendly linawekwa kwenye sentence moja
Wito wangu kwa...
Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana.
Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uliofanyika katika...
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imeahirisha kesi inayowakabili washtakiwa tisa wa kesi ya mauaji ya Asimwe Novart, mtoto aliyekuwa na Ualbino ambaye aliuawa na baadhi ya viungo vyake kukutwa...
Kwa ujumla mimi siendagi Kariakoo
Siyo sehemu salama, watu ni wengi sana, hakuna parking and kuna high level of noise pollution
Ukiacha hayo matatizo madogo madogo, magorofa mengi yaliyojengwa...
Nini maana ya maisha?, Nini sababu ya uwepo huu?, Ni ipi siri ya safari hii?
Nini maana yangu? Nini sababu ya uwepo wangu? Ni ipi siri ya uundaji wangu?
Ni ujinga wangu au ni hatma ya safari...
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa watanzania kuendelea kudumisha umoja, amani, upendo na mshikamano akiamini kwa kufanya hivyo ni kuimarisha Tunu ya msingi wa maendeleo katika Taifa...
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa wananchi wa Wilaya ya Ileje kuungana na kushirikiana kwa pamoja kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwa kukemea na kushirikiana na Vyombo vya...
Wakuu,
Nimeona kuna baadhi ya Wachaga wameshaanza kupanda Esta na Marangu Coach kuelekea kwao.
Simu zenu hatutapokea Januari. Unaendaje Moshi mapema hivi?
Una uhakika hiyo 500k yako ita-survive...
Habari za leo wakuu;
Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo...
ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena...
Hivi huu mtindo wa kuita watu kwa kutanguliza neno "mzee" ni umetokana na nini?
Halafu kwa nini ni wanasiasa tu wanaitwa wazee? Utasikia mzee Kikwete, mzee Mbowe, mzee Kinana, mzee Warioba, Mzee...
Mfalme Ogu anatajwa kwenye vitabu vya dini kuu tatu za mashariki ya kati yaani Uislam, Ukristo na Uyahudi.
NB: Nimezingatia dini zote tatu zinavyomzungumzia
Inaelezwa alikuwa ni mfalme...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile itaelekezwa kwa Mtanzania mwingine...