Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanaJamiiForums! Naomba nisiandike mengi, naomba kupata taarifa kuhusu shule Turkish School of Zanzibar. Natamani kujua mazingira ya shule, ada na mengine mengi
1 Reactions
5 Replies
934 Views
Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu. Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Hakuna fao linaloitwa la kujotoa Bali Kuna fao la kukosa ajira. Hili Kila mtu anaweza kupata Kama ifuatavyo:- KWANZA, fao la kukosa ajira linalipwa kwa mwanachama ambae hauafikisha umri wa miaka...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo cha DIT tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi ya mkopo wa Chuo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakuja na mpango wa uendelezaji upya eneo la Sinza jijini Dar es Salaam (Sinza Redevelopment Plan 2024 - 2044.). Hayo yamebainishwa leo tarehe 17...
0 Reactions
8 Replies
773 Views
Serikali ya Manispaa ya Jiji la Tokyo Nchini Japan inatarajia kuweka ratiba mpya ya kazi kwa wiki nzima kwa Wafanyakazi wa Serikali ambayo itaweka bayana kwamba siku za kazi sasa zitakuwa nne tu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu, Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF...
2 Reactions
4 Replies
417 Views
Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya...
12 Reactions
57 Replies
5K Views
MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU: 1.Mtihani wa darasa la Saba utafutwa. 2.Mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize Kidato cha nne. 3.Kutakuwa...
12 Reactions
41 Replies
4K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema kati ya Julai 2023 hadi Juni 2024 imefanikiwa kutatua migogoro 258 ya malalamiko kuhusiana na sekta inazozisimamia. Hayo...
1 Reactions
0 Replies
258 Views
App
Ukitaka kutengeneza application unatakiwa ujibu maswali mangapi kupitia iyo app Yako unayotaka kutengeneza na kujiridhisha kwamba inafit
1 Reactions
3 Replies
351 Views
DC LINDI AMULIKA MIRADI YA ELIMU, ASISITIZA MUDA, UBORA NA THAMANI YA FEDHA Mkuu wa wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva amesisitiza Miradi ya elimu kukamilika kwa wakati, Ubora na thamani ya fedha...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Unawapa taarifa ya mtandao kusuasua wanalazimisha kukuelekeza settings za simu usipokuwa makini wanajidai wameshasolve tatizo na wanakukatia simu Kwa yule ambaye yupo makini anawabananisha...
2 Reactions
5 Replies
558 Views
Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga. Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na...
21 Reactions
70 Replies
4K Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
11 Reactions
786 Replies
65K Views
Leo hii kumekuwa na ongezeko kubwa la noti kuukuu, zilizochakaa na kuchanwa kwenye ncha au kutobolewa kwa makusudi kabisa kisa wafanyabiashara wanaamini katika ushirikina. Watanzania wenzetu...
11 Reactions
46 Replies
5K Views
BASHUNGWA AKABIDHIWA OFISI NA MASAUNI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi...
1 Reactions
1 Replies
403 Views
Wakuu, Ukurasa wa X wa East Africa TV wamepost kuonesha kuwa mmiliki wa jengo la Kariakoo amekamtwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, ametangaza kuwa mmoja wa wamiliki wa jengo...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kijana hawa ndio wachawi wetu wa sasa 2024 1. Ajali za barabarani 2. Ukimwi 3. KANSA (saratani 4. Changamoto za UZAZI. Ndugu yangu sisemi uchawi hakuna hapana. Ila kwa nyakati tulizonazo hao...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtumishi wa Mungu Boniface Bulldozer Mwamposa alivyowasili viwanja vya Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu Grace Mapunda #RIPGraceMapunda Soma: Muigizaji Grace Mapunda (Tessa)...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom