Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua. Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie...
2 Reactions
10 Replies
757 Views
https://www.facebook.com/reel/2785510158289198
3 Reactions
0 Replies
398 Views
Napata sana maswali mawili ya msingi kwanini Suleiman aliomba hekima na si utajiri? Lakini kwanini pamoja na kuwa na wale wanawake wote na masuria 300 lakini mwishoni akiona ni batili 1.Mengi...
0 Reactions
9 Replies
733 Views
Hayo ndio yamejiri huko Mererani Wakati Waziri wa Madini bwana Antony Mavunde akizindua Mnada wa mauzo ya Madini ya Vito kwenye Jengo jipya lilojengwa na Serikali maarufu kama Magufuli House...
3 Reactions
43 Replies
1K Views
Mssada wadau kuna duka nimekabidhiwa lakini mwenendo wa mauzo siyo wa kuridhisha pia inasemekana hili eneo halina biashara na uswahili ni mwingi,lakini mbaya zaidi kwa milango tuliokodi sisi...
8 Reactions
11 Replies
664 Views
Nimesoma andiko la mwanafunzi wa chuo kikuuu, andiko la shahada ya sheria ya kwanza. Utalia machozi. Masikini mwanafunzi hana usaidizi/ supervision yoyote/ wowote wa Lecturer/Mwalimu, he is...
16 Reactions
134 Replies
6K Views
Wakuu, Fujo zilizoibuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba SC na CS Sfaxien zimeibua mkanganyiko kuhusu uwajibikaji. Jeshi la Polisi...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari ya muda huu Wapwa? Natumaini mnaendelea vizuri kabisa, ila kwa wale ambao hamko vizuri kwa namna yoyote Mungu awaongoze mvuke katika hilo. Wapwa, leo nagusia kuhusu uchangamfu katika...
1 Reactions
2 Replies
530 Views
Mpira wa mguu, kama tunavyoujua leo, ulianzia Uingereza, lakini historia yake inahusisha michezo ya zamani kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Hapa kuna muhtasari wa jinsi mpira wa mguu ulivyoanza...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Novemba 27, 2024, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulifanyika, ukiambatana na matukio ya aina mbalimbali, yaliyokuwa ya Kweli, huku mengine yakitia shaka kuhusu Uhalisia wake. Mdau, je, ni jambo...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vinavyofuatilia ubora wa Miundombinu barani Afrika, Tanzania imepanda hadi nafasi ya 9 kutoka nafasi ya 15 kwa Nchi zenye Barabara Bora na Nzuri Afrika...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe.. Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki . Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii...
24 Reactions
62 Replies
3K Views
Hivi tukiacha blaahblaah na porojo za kufarijiana kiimani, tukifa tunaenda wapi? Eti wakuu?
5 Reactions
58 Replies
2K Views
1. Mpaka leo kungekuwa hakuna vitabu wala maandiko, kila kitu ni kwa kuongea. 2. Mpaka leo kupaa angani ingeaminika ni kwa wachawi 3. Kutuma ujumbe wa mbali zingetumika yowe ama kumtuma kijana...
1 Reactions
2 Replies
221 Views
Ukisoma biblia mamajusi(wanajimu) watatu kutoka mashariki walisoma na kuifuata nyota kutoka mashariki iliyowaongoza kutoka mashariki walipokuwepo hadi Bethlehemu alipozaliwa mfalme wa...
0 Reactions
2 Replies
633 Views
Huwa nashangaa sana nikiona collective thoughts za waafrika hasa mitandao ya kijamii, Utaona mtu kaandika "Mwaka huu utapata milioni 100, andika amen" basi utakuta mpaka komenti elfu 1 watu...
3 Reactions
7 Replies
392 Views
Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni...
7 Reactions
67 Replies
4K Views
Hii ni kali ya mwaka baada ya dogo kuzimika mpaka kushindwa kujizuia kufanya mapenzi na nguruwe wao ambae amedai ni mrembo na humridhisha kuliko kawaida jambo lililomfanya ashindwe kuhudhuria...
1 Reactions
50 Replies
22K Views
Back
Top Bottom