Nimesoma andiko la mwanafunzi wa chuo kikuuu, andiko la shahada ya sheria ya kwanza. Utalia machozi. Masikini mwanafunzi hana usaidizi/ supervision yoyote/ wowote wa Lecturer/Mwalimu, he is fumbling aroud of what to do.
Kibaya Mwalimu anawashinikiza wa submit thesis zao bila yeye kuzipitia.
Wanaishia ku copy za watu wa Kenya na Uganda mradi wamalize waondoke!
nami nikamshauri, COOK DATA, SIMPLE DATA TO YOUR LEVEL, CHUKUA THESIS ZA WAGANDA/WAKENYA. Kopi za waganda/ wakenya badilisha IS/ WAS/ARE/WERE ETC ETC, cheza na lugha hapo isionekane umekopi maandiko ya watu, submit uondoke! SI VIZURI, SASA MWANAFUNZI AFANYEJE?
Nasema ushauri niliowapa si mzuri hata kidogo, maana hakuna learning which is taking place that way, sasa wafanyeje na inabidi wamalize?