Kuna watu wanateseka sana kwenye hii dunia, wengine wanateseka tangu wanazaliwa mpaka wanakufa, wengine wanateseka nusu ya maisha yao yote n.k
Fikiria watu wanaugua kansa za kila aina, watu...
https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari...
Mm nikijana nina miaka 28 ivi nina mke na mtoto mmoja mwanangu anaitwa Rose.
Sasa hiki kituu ni kitambo na kinaniumiza sana.
Iko hivii siku moja nimeamka niko hovyo sana akiba sina Rose...
🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿
Kwa wale mnaokuja kula christmas vijijini zingatia yafuatayo:
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia...
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linamshikilia Neema Wikechi (21) mkazi wa sabasaba kwa kumkata mume wake Flowin Msigwa (27) sehemu za siri na kitu chenye ncha kali na kumsababishia maumivu makali...
Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba...
Wema hauozi ,matendo mema ni akiba yako mbinguni na duniani.
Uzuri wa mtu upo katika matendo yake mema.
Mikono inayosaidia watu ni bora kuliko midomo inayosali bila matendo.
Imani bila ya kuwa...
Ukiweka kipande cha dhahabu (nugget) cha gramu 500 kwenye mawe yanayosagwa kwenye crusher linalosaga mawe yenye dhahabu, hicho kipande nacho kitasagika na kuwa unga?
Wakuu ! Ni matumaini yangu mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila kwa neema na kudra za Allah.
Nimeamua kuanzisha huu uzi ili niweze kusikia maoni yenu au kuweza kupata kujua ni...
Maeneo mengi ya Dar es Salaam kwa sasa yanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, umeme umekuwa ukikatika kwa masaa kadhaa huku kukiwa hamna taarifa yoyote kutoka kwa wahusika...
Hautapita muda mrefu,
mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015.
Huyo ndie hasa alikua...
Kwanza nikiri Kabisa Mimi ni Mkristo Kabisa!
Umetokea mtindo wa baadhi ya Wainjilisti kutoa mahubiri kwenye Daladala kila Siku, sasa ninachokijua ni kuwa sisi wakristo Kuna sehemu mahususi kwa...
Huu ndiyo mwonekano wa Barabara kutoka Wilayani Bariadi kwenda Wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu, hii Barabara ni hatari Kwa Sasa imekuwa kero kubwa kwetu wananchi.
Barabara imejaa mashimo kuanzia...
Mamia ya meli yamefurika Bandari ya Dar zilisubiria kushushwa na kupakia mizigo.
Kwa mujibu wa wadau wa Bandari,ongezeko Hilo limechangiwa na kuimarika Kwa ufanisi wa kuondoa mizigo kunakofanywa...
MAMA NA BABA KUISHI PAMOJA NI RAHISI KUWASAIDIA NA KUWAHUDUMIA KULIKO WAKITENGANA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Fainali ya uzeeni naiona kwa wengi ikiwapiga Knockout Matata. Kuna kilio cha...
Jf saalam.
Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana.
Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye...
Kwenye page ya immigration Tanzania inadai Romania ni moja ya nchi ambayo Tanzania hatuhitaji visa kwenda kutembea na ivi sasa Romania na Bulgaria zimekubaliwa kuingia Schengen so sijui inakuwaje...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha...