Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa mujibu wa...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Eneo liko mjini! Limezungukwa na majirani waliopandiwa mawe ya umiliki! Sasa kawasiliana na kampuni iliyasajiliwa kurasimisha makazi. Kaambiwa: gharama za utambuzi 200,000/= (laki mbili)...
2 Reactions
2 Replies
332 Views
Habari wakuu, Kumbukumbu ya Wapendwa Wetu Mwaka Gani Hautosahau? Tunapokaribia mwisho wa mwaka, tungependa kuwapa nafasi ya kutoa shuhuda zenu za mwaka ambao hautosahau kamwe kwa sababu ya...
1 Reactions
4 Replies
399 Views
guest-1788672427
..
30 Reactions
149 Replies
6K Views
Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema...
1 Reactions
0 Replies
373 Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amefika kijiji cha Kwamsisi kilichopo katika kata ya Kwamsisi, wilayani Handeni mkoani Tanga kujionea hali ya upatikanaji wa maji katika eneo hilo na changamoto...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Michelle Botes, aliyetamba sana kupitia series ya Isidingo the Need miaka ya 2000, amefariki dunia. Michelle Botes, alijulikana kwa kucheza vyema nafasi ya mwanamke muuaji aliyeitwa Cherel De...
0 Reactions
7 Replies
855 Views
Ukisikiliza mazungumzo ya Mbowe ni dhahiri ameanza kumchafua Lissu hiyo ni dalili ya kushindwa. Lissu yeye anajenga hoja
2 Reactions
7 Replies
699 Views
Kama ikitokea siku mtu akakuhitaji umuweke bayana kati ya Life la Chuo na la Kitaa ni lipi lina songombingo nyingi basi vuta pumzi kisha mwambieee 'hakuna Embe litakaloweza kuota kwenye Mnanasi na...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Ubaya Ubwela & Nyie Hamuogopi vimepita,tujikite kwenye mada kuntu! Kuna mshikaji wangu mmoja tulimaliza wote Sekondari na bahati nzuri hata chuo tukasoma wote,Mimi na yeye tulitokea Kuwa marafiki...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
...Katika taasisi imara na tajiri duniani ni kanisa Katoliki. Kanisa hili tajiri na linaloutumia utajiri wake kuifaidia jamii (sio wachungaji wake tu), ina wachungaji wasomi sana na wanasayansi...
6 Reactions
214 Replies
55K Views
HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU DKT. IRENE ISAKA KWENYE UZINDUZI WA MIFUMO NA MPANGO WA TOTO AFYA KADI DODOMA, TAREHE 17 DESEMBA, 2024 Waziri wa Afya na Mgeni Rasmi, Mhe. Jenista Mhagama (Mb)...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Anonymous
Vyoo katika uwanja wa ndege wa kilimanjaro havina maji kwa mda mrefu na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na mamlaka husika.
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Nimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two. Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta...
13 Reactions
41 Replies
4K Views
Habarini, Kuna tabia imekua ikinikera miaka nenda rudi. Serikali inakazana kuunda miundo mbinu na kuifanyia finishing nzuri ili uliwe na mwonekano mzuri na kuvutia lakini baada tu ya mradi...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Jamaa mmoja aliapa kuwa hatakula chakula cha mama nitilie. Alikuwa mfanyakazi mwenye mshahara wa kawaida sana. Lakini aliweza kula hotelini kipindi chote alipokuwa kazini mpaka alipostaafu kwa...
7 Reactions
14 Replies
888 Views
Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport. baada ya mabegi kupita kwenye scanner, begi moja likaonekana lina tatizo. Likaekwa pembeni, nikaitwa...
51 Reactions
82 Replies
4K Views
Je wajua? Kwa mujibu wa BAKITA,mtu asiyekuwa na pahala pa kuishi huitwa GAREGARE! Wakuu nipo Arusha au A town au Chuga kama wengi wenu mnavyopenda kupaita!,huwa nakuja angalau kupumzika mahali...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Back
Top Bottom