Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je wajua? Kwa mujibu wa BAKITA,mtu asiyekuwa na pahala pa kuishi huitwa GAREGARE! Wakuu nipo Arusha au A town au Chuga kama wengi wenu mnavyopenda kupaita!,huwa nakuja angalau kupumzika mahali...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike. Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi...
2 Reactions
3 Replies
467 Views
Habarini wana jamvi poleni na swaum lakini pia mfungo mwema kwa wenzetu waislam. Nimependelea nije na mkasa huu hususani katika kipindi hiki cha mfungo kwani ni funzo tosha katika maisha ya kila...
132 Reactions
157 Replies
33K Views
Pascal Mayalla na wengine wengi wa enzi zile. Ninyi mlijifunza aina ya uandishi wa habari za kiuchunguzi ndani ya nchi na nje ya nchi. Mlijifunza aina hiyo ya uandishi ili muweze kumiliki...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka. Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama...
22 Reactions
88 Replies
3K Views
Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.
1 Reactions
7 Replies
467 Views
Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani?? 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya...
9 Reactions
101 Replies
6K Views
Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe -Awe anajituma...
2 Reactions
0 Replies
283 Views
Nashangaa wakristo waliowengi wakitaka kutuma ujumbe kuhusu siku hii kubwa duniani na kuandia X-mass, badala ya kuandika "Christmass". Neno "X" ni neno la kishetani likimaanisha "biashara ya...
1 Reactions
9 Replies
613 Views
UKIMUONA MTU AMEFANIKIWA JUA KUWA MUNGU AMERUHUSU NA SHETANI AMERUHUSU PENGINE NAWE ULISEMA "HUU MWAKA NI MWAKA WA KUFORCE, LAZIMA WATAKUITA BOSS" . LAKINI UMEFORCE SANA UMEAMBULIA NUKSI NA...
2 Reactions
2 Replies
550 Views
Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
1 Reactions
2 Replies
310 Views
Binafsi najiuliza ufanisi utatoka wapi ikiwa idadi ya walimu ni ileile halafu wanafunzi wameongezeka kwa shule zote za msingi na sekondaril,mfano Kuna shule jirani watoto walidahiliwa kuanzia form...
2 Reactions
0 Replies
278 Views
Habari wana jf Leo ngoja tupeane updates ya masuala ya radio mi ni mwazilishi wa Tzgospel Radio inasika online na kwenye cable milan cable arusha. Jambo la kushangaza miaka ya hivi karibuni...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
CHAMA cha Majaji Wanawake Tanzania(TAWJA) kimesema kuwa kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti nchini. Mwenyekiti wa TAWJA, Jaji wa Mahakama ya Rufani...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10. Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la...
10 Reactions
52 Replies
2K Views
Habari yenu wadau wa JAMIIFORUM. Leo hii nataka kuwapa dondoo kuhusu MAISHA . Watu wengi najua wanapitia magumu Sana wameomba sana Kwa MUNGU Ila wametoka 0-0 na wengine wameroga Sana Ila...
5 Reactions
4 Replies
539 Views
Ewe kijana jitathimini sasa. Mpaka sasa umeshamtumia pesa ya kusuka, pesa ya viatu na mmeshapanga sehemunya kukutana kula bata. Mpak muda huu Atm ishaumia mara kadhaa kqa ajili ya kumnunulia...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
hili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Wengi tunapoongelea neno KINGA tunapeleka mawazo yetu moja kwa moja kwenye mipira ya kufanyia ngono yaani kondomu. Lakini wengine watadhani ni kinga dhidi ya maradhi ama kinga dhidi ya ajali...
108 Reactions
225 Replies
35K Views
Back
Top Bottom