Nazungumzia hawa wapiga debe wa stand zilizo busy kama hii ya Magufuli. Hawa jamaa usiku na mchana wapo tu hapo stand,huwa wanapata muda wa kulala kweli?
TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu.
Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha...
Hawa Osha sijui wanafanya kazi gani. Ni ama wakienda huko wanapewa hela wamalizane tu au hawaendi kabisa. Ndo shida ya waajiriwa wa serikali wakishaajiriwa hawafanyo kazi tena tofauti na ambapo...
Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??
Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa...
Habari za jioni ndugu,
Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi...
Jana nilikuwa na safari ya kwenda Shinyanga kutokea Mwanza. Niliyoyaona njiani wananchi wakiteseka kutafuta maji kweli inasikitisha sana huku tukiwa na Ziwa Victoria kwenye ukanda wa Ziwa...
Mdau,
Nataka kuhamia mkoa wa Mwanza, hasa maeneo ya mjini. Ni shule gani ya sekondari ungenishauri nihamie?
Nahitaji pia kujiongezea kipato kwa kuangalia furusa zitakazokuwepo.
Tafadhali sana naomba mrekebishe hicho choo.
Ni aibu sana kuwa ja choo kama hicho.
Nilijuta kuingia aisee. Ni choo cha shimo na mmeweka sink. Sink limevunjika na choo ni kimejaa so mzigo wote...
Mimi ni graduate wakuu wa moja ya chuo kikuu. Wakuu Leo nikafika bandarini kuliku na kazi ya kupakia mifuko ya cement kama 5000 kwenye gari ili isafirishwe moja ya mkoa.
Sasa Kuna bro...
Tunashuhudia serikali ikigawa mitungi ya gesi vijijini ambako wananchi wanauwezo wa kupata nishati safi bila gharama yoyote. Wafugaji na wakulima wanayo mabaki ya vyakula na samadi ambayo yanaweza...
Shalom Shalom!
Leo ni siku ya pekee ambayo waumini Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) wanaadhimisha uwepo wa kanisa hili kwa miaka 85 sasa. Kanisa hilo lilikuwepo tangu kabla wa uhuru wa...
Kuna taarifa mitaani zinazagaa kuwa Mchungaji Moses Magembe wa Tanzania Assemblies of God kajiondoa mwenyewe kwenye hilo kanisa kuendelea na maono yake kwingine
Je taarifa hizo ni kweli?
Dunia imejawa na siri na waaofanikiwa kufahamu hawana Nia ya dhati kuhakikisha umma unaamka. Watu wengi leo wanaangamia Kwa kukosa maarifa. Kinachouma zaidi maarifa yanayotolewa ni "exoteric"...
Niko mapumzikoni kijijini kwetu huku kwenye moja ya mikoa ya kanda ya ziwa.
Sasa kuna sehemu hapa kijijini kwetu pana mti mkubwa watu wanapaogopa sana,wenyeji wanasema ikifika saa 1 jioni ndio...
Kwanza,
Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari.
Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa...
Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana .
Nimeambiwa ni muhaya
Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki
Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia...
Hii ni kwenu matajiri wa JF,
Heshima nyingi kwenu!
Nawaandikia baada ya kufikiri na kutafakari kwa kina juu ya hatima ya maisha yangu.
Kila nikitafakari na kuangalia kesho yangu naona kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.