Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia. Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia Heri ya...
3 Reactions
15 Replies
649 Views
Ni ya ajabu kwangu! Sijawahi kuiota ndoto ya aina hii!!! Nimeota nimetoka nje ya mwili wangu na kupaaa hadi eneo ambalo sikuwahi kufika, na hata sasa sipafahamu kama eneo hilo lipo au ni eneo la...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
NAOMBENI NIFUNGE MWAKA KWA POST HII; SPIRITUAL CLEANSING AND HEALING (KUITAKASA, KUISAFISHA NA KUIPONYA ROHO NA NAFSI YAKO) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Nataka...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Sekta ya michezo ya kubashiri (betting) imekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa serikali ya Tanzania. Kupitia kodi na leseni zinazolipwa na makampuni ya betting, serikali inapata fedha...
1 Reactions
3 Replies
525 Views
Nguvu ya Kumsifu na Kumwabudu Mungu muumba Mbungu na Nchi katika Maisha yako Sifa na kuabudu ni maneno yenye maana inayokaribiana. Kusifu ni kueleza wasifu wa mtu au kitu. Kwa maana nyingine ni...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa kinavyosomeka, naomba kujua nikitu gani, nani mwanzilishi, imesajiliwa ? Kama ndio imesajiliwa kama nini au nikanisa... Naomba kujua hii kitu, asanteni wakuu Sent using Jamii...
1 Reactions
32 Replies
17K Views
Wakuu hii chuma ishatoka? maana kila nikiisaka naona posters zake tu
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umelaani vikali vitendo ambavyo vinaendelea dhidi ya wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro ambao wamekuwa wakitoa maoni yao kwa kukosoa na...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Thanks God for another day. https://youtu.be/WZ1ldzuo8A0?si=ZSDv31kG-I8bAe04
0 Reactions
0 Replies
255 Views
𝗠𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝗽𝘆𝗮 𝘆𝗮 𝗠𝘄𝗲𝗻𝗱𝗼𝗸𝗮𝘀𝗶 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗚𝗮𝘀 𝗸𝘂𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 Wakati upanuzi wa barabara za Mwendokasi ukiendelea ili kurahisisha Usafiri nchini Tanzania. Tanzania sasa inasubiria mabasi zaidi...
2 Reactions
12 Replies
857 Views
Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Graison Kanyenye (6) wamefikishwa mahakamani jijini Dodoma leo Jumatatu, Desemba 30,2024. Soma, Pia: Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu, Tunaelekea mwaka mpya 2025 siku chache zijazo, umejipangaje? Mwaka 2024 ulikuwa wa kufosi, tukafosi na kufosi, baadhi vikanyooka, vingine tukafosi kweli mpaka tukatoboa, vikingine...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Wapendwa Wana Jukwaa letu pendwa, salaam. Sisi familia ya Advocate Gwajima, tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na upendo wenu kipindi chote cha mwaka 2024. Tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya...
28 Reactions
27 Replies
1K Views
Mshana Jr - huyu ni mwanachama ambaye ameonesha talanta yake na karama katika kuijenga jamii kisaikolojia , kisosholojia na kiroho na Kwa mbali sana kisiasa . Sitomuelezea Sana maana huyu ndo...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Kama uko maeneo hayo na una trekta lenye angalau HP 100 tuwasoliane kwa whatsapp 0656388678. Asanteni na heri ya mwaka mpya 2025.
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Habari za muda huu waungwana..... Mimi nadhani maisha ya kiumbe mwanadamu hapa duniani yamekuja mfano wa simu iliyojaa chaji na kutolewa kwenye chaji pindi anapozaliwa kutoka tumboni kwa mama...
7 Reactions
11 Replies
463 Views
Wakuu, heri ya mwaka mpya 2025. Ilikuwa usiku wa saa 6 kamili juu ya alama, ndipo nilipata ugeni wa Yesu Kristo. Amenipa jukumu la kuwafanya watanzania kuwa wanafunzi wake. Hivyo kwa jukumu hilo...
3 Reactions
6 Replies
246 Views
Jobless leo nimewakuta nawawaza sana hawa Mzena hospital. Hivi hawa wakuu wanatumia utaratibu gani kupata wafanyakazi wao nimekuwa nikitamani sana kufanya kazi kwenye hii hospitali lakini...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa. Unakatika haipiti hata dakika...
2 Reactions
7 Replies
431 Views
Back
Top Bottom