Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu mwaka siyo wetu...ni Mwaka wa Kikafir kabisa. Si kama kwenye Kalenda yetu. Nashangaa naona watu wanatakiana heri na fanaka.
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Hizo nywele za katikati ya miguu, zina balaa na mikosi kibao. Na ndiyo maana saloon zote duniani hazikubali kutoa huduma ya kuzinyoa hizo nywele. Imekula kwako kama umeingia na nywele hizo mwaka...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina...
1 Reactions
1 Replies
348 Views
Ukisoma Kurani inaonyesha kuna ma Alllah wengi ndio waliomtuma Mohamed Ushahidi huu hapa Sisi tumemtuma kwenu Mtume aliye shahidi juu yenu, kama tulivyo mtuma (73:15)
1 Reactions
8 Replies
401 Views
Katika kudhibiti ajali za barabara Jeshi la polisi mkoa wa Tanga limewafungia leseni za udereva madereva 15 Kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi mkoa...
1 Reactions
3 Replies
429 Views
Kutoka kwenye kitabu "Rich DAD Poor DAD" cha Robert Kiyosaki 1. Usifanye kazi kwaajili ya kutengeneza pesa (Don’t work for money): Watu matajiri huwa hawafanyii kazi pesa. Kama unaifanyia pesa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukiona sehemu imeandikwa HAKUNA NJIA HAPA. Ujue ni waongo hao walioandika. Njia ipo ila hawataki upite. Kama hakuna njia hamna sababu ya kuandika. Itaonekana tu kuwa hakuna njia. Why paandikwe...
6 Reactions
17 Replies
709 Views
Mungu AWABARIKI SANA SANA wote mlio hai MUNGU axidi kuwainua na kuwapa furaha maishani mwenu Wale members waliotangulia MBELE za Mungu MUNGU akawape pumziko la milele Mkawe na amani na furaha...
2 Reactions
5 Replies
314 Views
Japo watu weusi tuna matatizo mengi sana na ye kipekee tofauti na races lakini sio jambo jema kujidharau kama watu weusi, sio vyema kudharau hali yetu kutokana na weusi tu, sio sawa kujiona duni...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Nimeona sehemu nyingi ukimjibu mtu basi juu kwenye msg yake anaandikwa mfano Komeo la chuma Said. Nikawa najiuliza kwa nini JF mliona jina la Said ndo liwe Surname ya members wote? Kwa nini basi...
3 Reactions
12 Replies
714 Views
Anonymous
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry...
7 Reactions
18 Replies
936 Views
Mimi nikiwa na shida sipendagi shida zangu ziwe kero kwa mwengine nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu kutafuta suluhu ya matatizo yangu , kadhalika huwa sipendi shida za mtu mwengine ziwe kero...
1 Reactions
1 Replies
327 Views
Nimebahatika kufika Kigoma siku tatu zilizopita. Nimeshindwa kuvumilia kituko cha barabara kutoka Gungu kwenda mpaka njia panda ya Kigoma mjini na Ujiji. Lakini pia Kituko cha barabara ya Kigoma...
2 Reactions
16 Replies
956 Views
1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani...
3 Reactions
9 Replies
481 Views
Inasikitisha sana majengo yetu ya ferry za Magogoni na Kigamboni kuwa kama mahabusu. Ndani mnalundikwa utadhani mbuzi wako Vingunguti wanasubiri kuchinjwa. Hamna viburudisho wala miundombinu...
2 Reactions
9 Replies
525 Views
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad Yaani hizi...
45 Reactions
424 Replies
13K Views
Polen najua nawachukulia mda WENU kufurahia MWAKA mpya Kumekuwa na ajali za ajabu sana MWAKA mpya ambapo Kama kungekuwa na upimaji wa vilevi huko njian walipotokea Tungeeweza kuthibiti vifoo...
3 Reactions
11 Replies
518 Views
Hamjambo wana JamiiForums Wakati mwingine unaweza kuwaza sana hadi kichwa kinataka kubasti, kuna kipindi kabla sijawa mtu mzima nilikua napishana na mtu anaongea mwenyewe na kurusha mikono...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
10 Reactions
66 Replies
2K Views
𝗠𝗔𝗚𝗔𝗭𝗘𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗣𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗕𝗘𝗚𝗨 𝗨𝗞𝗜LI𝗧𝗨𝗣𝗔 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗞𝗨𝗔 𝗠𝗠𝗘𝗔 Inawezekana umeshangaa naam Japan ili kuondokana na uchafuzi wa mazingira waliunda magazeti ambayo yana mbegu ukifanikiwa kusoma na...
4 Reactions
12 Replies
645 Views
Back
Top Bottom