Nimejiajiri (yaani Freelancer) na nimeona mabadiliko makubwa maana sina stress za kuamka mapema niwahi kazini, ila huwa nina wa-treat wateja kama mabosi zangu hivyo nina nidhamu kwenye kazi yangu...
Ukichukua maiti ukaiweka sehemu safi mfano katika vigae au kitandani,
Hii maiti ikianza kuoza wale bacteria (wadudu) ambao huanza kuibuka je huwa wanatoka wapi?
Kama ni katika mwili means ndani...
Habari za usiku huu aisee.
Juzi nilipata dharura nikarudi Dar kutokana na majukumu ya kusaka tonge.
Nianze kwa kusema leo toka asubuhi nilivyoamka sio kuonja hata kugusa bia za kwenye jokofu...
Kwa muda wa miaka zaidi ya 1000 kinywaji cha kahawa kimendelea kushika chat kwa kunywewa duniani
Wauza kahawa wa vijiweni sasa wameanza kukimbia gharama ya unga wa buni. Kwa sasa kuna mambegu...
Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera.
Hiki...
Mimi ni mkazi wa Mtwara, nina lalamiko kuhusiana na malipo ya korosho kupitia Chama cha Ushirika-TANECU (Tandahimba-Newala Cooperative Union) umefanyika mnada wa kwanza, wa pili, wa tatu na wa...
Inasemekana matunda yasiyo na mbegu ndani asilimia kubwa yametengenezwa na mwanadamu na hayana nutrients Halisi kama haya yaliyozalishwa na nature
Mfano kwasasa kuna machungwa , ndimu ,limao...
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha...
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria (OPEN University -OUT) ambao tunatarajia kuhitimu Shahada Mwaka huu na tayari Chuo kimepanga mahafali yafanyike Mkoani Kigoma tarehe 5 Disemba 2024...
Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo.
kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya...
Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba.
Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi ...
Majira ya saa 10 jioni ya tarehe 09.12.2024 nimepokea ujumbe huu 1 na 2 (chini) kutoka mtandao wa Halotel Tanzania 🇹🇿 kuwa nimejiunga na huduma ya #AfyaCheck ambayo siijui na wala sijawahi...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) ametangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa upanuzi wa barabara kutoka Rangi Tatu hadi Mkuranga, baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan...
Inakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu.
Kuna member humu...
Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa...
Hizo nywele za katikati ya miguu, zina balaa na mikosi kibao. Na ndiyo maana saloon zote duniani hazikubali kutoa huduma ya kuzinyoa hizo nywele.
Imekula kwako kama umeingia na nywele hizo mwaka...
Habari ndugu zangu,
Kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina...
Ukisoma Kurani inaonyesha kuna ma Alllah wengi ndio waliomtuma Mohamed
Ushahidi huu hapa
Sisi tumemtuma kwenu Mtume aliye shahidi juu yenu, kama tulivyo mtuma (73:15)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.