Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiufupi ni rahisi sana kupata habari ambazo ni positive za hizo Nchi kuliko Tanzania. Social Media users wao wako mitandaoni Kwa Wingi sana na wanazipamba Nchi zao vya kutosha ila kuwapata...
3 Reactions
82 Replies
2K Views
Anonymous
Habari, Kuna kampuni inaitwa Pent Optimism iko Dar es Salaam inafanya partnership na Vodacom, inaajiri vijana kwa mkataba ila wanashikilia vyeti vyao vya kitaaluma. Je, iko Sawa? Ni sheria gani...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya...
1 Reactions
3 Replies
650 Views
Bado nipo Nyanda za Juu Kusini.Nimemaliza Mbeya,Rukwa na Katavi na Leo Niko Songwe. Leo naendelea na kuwaletea miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Dr.Samia Mkoa wa...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi wiki iliyopita alifanya ziara ya siku saba katika nchi nne za Afrika, ambazo ni Namibia, Jamhuri ya Kongo, Chad na Nigeria. Ziara hiyo inadumisha...
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Katika mwaka 2024, Afrika ilichukua nafasi kubwa kwenye ajenda ya maendeleo ya kimataifa, ikionesha uthabiti wa bara hilo na uhusiano wake wa kina na China na nchi za Dunia ya Kusini kwa ujumla...
1 Reactions
0 Replies
357 Views
Miezi machache baada ya mkutano wa kilele wa Beijing wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC kufanyika mwaka jana, wachambuzi wa masuala ya kiuchumi wamekuwa wakifuatulia maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Kuna kampuni moja ilikuaga na ofisi Ubungo mawasiliano ila baadae walihamia Tegeta, shughuli yao ilikua ni kukopesha pesa kwa dhamana ya bidhaa za kielektroniki kama TV, Radio, Fridge au Simu...
1 Reactions
1 Replies
316 Views
Hili Jiji la Mbeya sasa kila kona ya Mtaa limegeuka kuwa kama Dampo maana siyo kwa kutapakaa kwa takataka kiasi kingi, licha ya kutokea kwa ugonjwa wa Kipindupindu katika baadhi ya kata hivi...
1 Reactions
9 Replies
852 Views
Unaweza kudhania hivi ni vipande vya filamu ila hizi ni picha za ukweli. Huyo binti hapo juu, mwenye asili ya Kihabeshi anaripotiwa kutekwa na kuteswa. Watekaji wanahitaji dollar 6000 ili...
0 Reactions
29 Replies
1K Views
Maswali ni kama haya yanaibuka.... 1. software aliyotudizainia imemshinda kuicontrol??? 2.Ukuu wake upo wapi kama tu leo ataanzisha vitisho na kifaa alicho kiumba mwenyewe??? 3.Kama...
1 Reactions
8 Replies
348 Views
Mfanyabiashara na mkazi wa Kinondoni, Daud George (28) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuiba mita za maji na kuisababishia hasara ya...
3 Reactions
3 Replies
578 Views
Sekta ya Utalii imerejea tena kuwa Kinara wa kuingiza Fedha nyingi za Kigeni Kufuatia kuporomoka kwake miaka 4 iliyopita. Kwa kipindi chote hicho sekta ya Madini hasa dhahabu ndio ilikuwa...
-1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega, akikagua maendeleo ya matengenezo ya barabara za Samora iliyopo Posta, katikati ya jiji la Dar es Salaam usiku huu. Kupata taarifa, matukio na...
1 Reactions
7 Replies
751 Views
Mtangaji wa Wasafi Media bwana Oscar Oscar amenukuliwa akiwananga watu wa Arusha kwamba Hawaheshimu watu wengine na ujuaji kibao kiasia ya kuwafanananisha ni President Kwa kujikuta wao ni spesho...
4 Reactions
14 Replies
881 Views
Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule...
1 Reactions
10 Replies
846 Views
Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) ===== October 8, 2021 by Global Publishers MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya...
7 Reactions
139 Replies
25K Views
Enzi za RFA na Kiss FM, unasikiliza VOA, DW na BBC. Walikuwa na propaganda zao, lakini walihabarisha sana Watanzania juu ya dunia. Kijana mdogo anafahamu yanayoendelea huko Mosul, Iraq. RFA...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom