Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Macho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
5 Reactions
11 Replies
845 Views
Kuna vijana wanaotoka kwenye mazingira magumu lakini wanashinda changamoto na kufanikiwa maishani. Unadhani ni nini kinachowasaidia kufanikisha haya licha ya changamoto kubwa wanazopitia? Na...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Thinking being, hebu jiheshimu, be noble Ni vipi unaweza kujifikiri na ukawa yule unayefikiri kuwa?! Nafikiri mimi ni mtu wa watu, mcheshi, sina makuu, sifa zote za kikristo nipe mimi niliye...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Hongoreni wana Chadema Kwa kufanya uchaguzi Kwa utulivu na amani , Wadau wengi walikuwa wakiandika juu ya ushindi wa Lisu humu mitandaoni na maoni ya wengi yalikuwa yanaonesha kuwa Lisu...
5 Reactions
13 Replies
749 Views
Jamaa yangu ananiambia maneno haya akiwa na huzuni sana. Kama kuna jambo sitakuja jisamehe ni hili la kufikiria kuwa Yericko Nyerere alikuwa anafahamu mambo ya ujasusi. Hili sitajisamehe kwa...
5 Reactions
7 Replies
700 Views
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye...
3 Reactions
15 Replies
579 Views
Leo ni wiki inafika na sijapata huduma. Update : Leo tarehe 21/12/2024 saa tisa na dakika 35 tanesco wamefika na wametatua tatizo Asante sana meneja asante sana mdau Sope suazo kwa kunipa namba...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Baada ya mechi ya Simba kuisha Tanesco mkachomoa fyuzi, hivi sasa saa 00:00 hamjarudisha umeme Mbagala Dar es Salaam, Sasa saa 00:04 mmerudisha umeme! Mungu awalaani.
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Kuna vitu hapa duniani huwezi kuvielewa mpaka akueleweshe Likud. Kuna watu hapa JF WaPo addicted with my opinion about everything. They love the way I think. Sio Kwa meseji hizo inbox wakiuliza...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Simba katuheshimisha Watanganyika.. Kamnyoa kipara mwarabu. πŸ’ͺπŸΏπŸ™πŸΏπŸ’₯πŸ’₯..! TAL ni SIMBA kwa alama .. Ni alama Ya uthubutu mkubwa na fearless.. Tumeanza na SIMBA tunamaliza na LISSUπŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿 Huko chama...
16 Reactions
36 Replies
1K Views
Asante, Donald J. Trump! Rais Trump ametimiza ahadi ya kampeni kwa wafuasi wa chama cha Libertarian katika siku yake ya pili ya kurejea ofisini kwa kumsamehe muundaji na mmiliki wa tovuti ya...
2 Reactions
0 Replies
403 Views
Nakumbuka Mwaka 2012 Kipindi Ujana Maji Ya Moto πŸ˜‚, Nilianzaga Mazoezi Ya Ngumi Kwa Ajili Ya Self Defense (Deep Down Ni Ukorofi Tu Ndo Ulikuwa Unanisumbua) Basi Bana Nikapiga Tizi Usiku Na...
2 Reactions
5 Replies
481 Views
Habari ya asubuhi, nimekuwa mfuatiriaji wa huu UCHAGUZI na kipindi Cha kampeni CHADEMA ila hawa baadhi ya makada heshima ZAO ZITASHUKA Kwa kiwango Cha 4g badhi ni hawa. 1. Yericko Nyerere...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha hapa Dar sijapata kuona. Tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki. Serikali ijiandae kukabiliana na athari za...
17 Reactions
292 Replies
20K Views
Mpaka sasa wamefanikiwa walau asilimia 40 kutengeneza kundi la upinzani ndani ya CHADEMA Kwamba sasa kuna makundi mawili yanayokinzana 1. Kundi la mwenyekiti 2. Kundi la makamu Makundi haya...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
Jeshi la Uokoaji (Zimamoto) Mkoani Arusha, limeshindwa kumuokoa kijana aliyeshindwa kutoka kisimani hali iliyopelekea afie ndani ya kisima hicho. Baada ya Jeshi la Uokozi kushindwa kumtoa kijana...
-1 Reactions
32 Replies
2K Views
Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu...
21 Reactions
148 Replies
9K Views
Nilimfahamu kwa karibu kipindi cha ukarabati wa kisasa wa Bills.. Nilikuwa sehemu ya technical team.. Hivyo tulionana karibia kila siku pale site Mwamba ni mtu makini sana mtulivu asiye na...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
KUTOKA KWENYE KITABU CHA NGUVU YA MIMEA Choma Kuni za mpaina ili kuvutia pesa ndani ya nyumba
0 Reactions
5 Replies
340 Views
Habari wakuu, Kuna mtu mmoja wa sura ya kihindi amepita Dar es Salaam, maeneo ya Mwenge, anawatabiria watu maisha yao. Je, na nyinyi mmemwona? Je mambo anayo watabiria watu ni ya kweli?"
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…