Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

📖Mhadhara (67)✍️ Kuna msemo unasema "ukitaka kufika haraka nenda peke yako, lakini ukitaka kufika mbali nenda na wenzako." Kupitia msemo huu unadhihirisha kwamba ili ufike mbali hupaswi kujitenga...
0 Reactions
3 Replies
423 Views
Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi...
0 Reactions
5 Replies
472 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei mpya elekezi kwa watumiaji wote wa umeme kisiwani humo ambapo zitaaza rasmi Januari 20, mwaka huu. Kwa mujibu wa...
6 Reactions
66 Replies
3K Views
Baada ya Mdau wa JamiiForum.com kueleza kuwa hadi leo Januari 21, 2025, Wakazi wa maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya hawajapata maji kwa wiki moja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya...
1 Reactions
1 Replies
314 Views
Wakuu CloudsFm wamebadilisha Frequency au shida ni nini? hawapatikani Moshi 88.7 ni muda sana sasa na hawajibu wakiulizwa..kampuni za kibongo hazijali kabisa wateja wake.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani watu wamezaliwa mambo safi wakalelewa mambo safi wakakulia mambo safi hadi wanakufa au mpaka wanakufa mambo_safi Donald Trump & Stephen Wasira. Sasa mimi nakwama wapi?
5 Reactions
71 Replies
2K Views
Wakuu, Maisha ni fumbo, maisha ni gumzo. Tusipende kubeza watu kutokana na wanayoyapitia na wanayoyaongelea kwa maana haujayapitia. Karibuni kwa story mbali mbali wakuu
4 Reactions
41 Replies
2K Views
"Inaonekana hali ya kisiasa itakuwa ngumu na huenda hali hiyo ikasababisha Wanawake kutokugombea kwa hiyo lazima kuwajengea uwezo." Hayo yalizungumzwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT)...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Baada ya mzee mageti kufanikisha uwekezaji kwenye Teknolojia aliamua kuingia mikoani na kuingia katika uwekezaji wa vyakula, Afya, tiba pamoja na njacho. Ndipo akakutana na mzee zakayo na...
0 Reactions
9 Replies
748 Views
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola...
6 Reactions
82 Replies
10K Views
Wakuu, hii imetokana na mambo kadha wa kadha ni kama mwezi mmoja umepita nilienda kwenye mgahawa mmoja local kuchukua chakula majira ya saa 3 usiku, wakati nimefika nikakuta vijana wawili ambao ni...
2 Reactions
7 Replies
502 Views
Ee Mungu mwenye uwezo wote, tunakuja mbele zako kwa unyenyekevu na shukrani kwa nafasi ya kuwa sehemu ya mchakato wa kidemokrasia ndani ya chama cha Chadema. Mwenyezi Mungu mwenye rehema na...
6 Reactions
9 Replies
494 Views
HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA. Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda. Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia. Ni...
10 Reactions
7 Replies
587 Views
Barabara ya Bariadi - Itilima ambayo ilielezewa na Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa ni kero kwa Watumiaji, akaomba Mamlaka zinazohusika ziboreshe kwa kuwa shughuli nyingi za Kiuchumi na Kijamii...
1 Reactions
0 Replies
665 Views
Nina ndugu yangu alikuwa ameacha pombe kama miaka minne hivi iliyopita. Sasa hizi sikukuu za juzi: Akaniambia: "Aisee, ngoja niinjoi kinywaji kuanzia krismasi mpaka mwaka mpya tu, halafu mambo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji. Naomba Wizara ya...
1 Reactions
2 Replies
453 Views
Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wasiwasi , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi...
12 Reactions
65 Replies
3K Views
Habari za jioni ndugu zangu nimekaa nikaona tushee kidogo uzoefu mbalimbali ktk utafutaji wa maisha yaweza ikawa shule nyingine bila kujua inaweza kuja kusaidia wengine. Leo bhana nilikuwa...
7 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu za mida hii? Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako. Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki...
25 Reactions
221 Replies
41K Views
Back
Top Bottom