Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona matapeli wamewaachilia watu wasio na hatia. Hongera kwa benja kwa kuwaminya hadi wanaanchia wenyewe .
0 Reactions
2 Replies
415 Views
Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Siku ya Haki za Binadamu huadhimishwa kila mwaka duniani kote tarehe 10 Desemba. Siku hii inaadhimisha kumbukumbu ya moja ya ahadi muhimu zaidi duniani: Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu...
0 Reactions
1 Replies
501 Views
Niaje niaje............najua kuna baadhi tunaishi huku wengine wana ndugu wengine jamaa na kadharika.........ila ili limenigusa sana .........maana kurudi tena nyumbani kuja kuanza upya ni kisanga...
2 Reactions
10 Replies
677 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko yashuhudia ongezeko kubwa la hamasa kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), ambapo elimu ya sheria inaendelea kutolewa kwa wananchi kwa kasi kubwa...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Nimefuatilia sana hawa wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kujiridhisha pasipo shaka kwamba ndio hao hao wa Mbulu ambao wao wali hama wakajikuta wamefika Tanzania. mwo Oromo akiwa amejichora, kumbuka...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Uchaguzi wa hivi karibuni ndani ya Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) umekamilika, lakini umeibua maswali mengi—hasa kuhusu uwakilishi mdogo wa wanawake katika ngazi za juu za...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha...
3 Reactions
6 Replies
400 Views
Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii...
12 Reactions
39 Replies
1K Views
Siku hizi hakuna cha inspiration za bibi titi mohamed. Siku hizi unakutana na mwanamke mwenye mafanikio na alama katika taifa lakini njia ya kufika kwake ilikuwa kujipost uchi uchi mtandanoi...
0 Reactions
5 Replies
363 Views
Chama Cha Mapinduzi kimewaomba wananchi wa Zanzibar kumsikiliza, kumtafakari,kumtazama hatimaye kumpuuza Mwenyekiti wa AAFP Said Soud Said aliyedai zanzibar haina maendeleo yoyote kwa miaka...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Kuna wakati Godbless Lema aliwqhi kusikika akisema kazi ya Bodaboda sio kazi, kaul8 hii ilinitafakarisha sana, kwanza nilijaribu kuingia kwenye mawazo yake ili kuhukumu kwa haki. Ikumbukwe kuwa...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira. Ujumbe kwa wazazi. Wazazi anzeni kujiandaa mapema. Watoto wenu watafaulu sana, tena kwa marks za juu. Wataingia vyuoni watafaulu sana kwa marks za juu...
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili ambalo limekuwa sauti Kwa wasiyo sikika. Ndugu yenu katika pitapita zangu nikajikuta nimeibukia Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro, nilichokutana nacho kwa...
5 Reactions
11 Replies
647 Views
Anonymous
Wakala wa mtandao wa Yas wajulikanao Poa Communication tawi la Zanzibar enelo la Amani huduma zao ni mbovu sana. Nilitaka kupatiwa huduma ya Uwakala wa Mixx by Yas na nikaelekezwa niende ofisini...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Nina kiwanja changu kama nusu eka nilichonunua 2012 maeneo ya Chanika. Nilikizungushia fence ya waya na mara moja moja nilikuwa natuma mtu apasafishe. Takriban miaka 6 nilikuwa nje ya Dar kikazi...
16 Reactions
25 Replies
2K Views
tena na tena barabara ya kigambo. pale dege centre pabaya sana matuta muhim. watoto wa shule wanavuka pale. gar zinazotokaga kule kimbij avic town ni zinapita na 120 kwenye kona shwaa. hii...
0 Reactions
4 Replies
347 Views
Nchi hii ina miujiza mingi sana Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7 Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Nawapongeza sana Azam TV kwa jitihada zao,ubora wa vipindi na mwonekano wa channel zao hongereni sana. Nichukue fursa hii kuwaomba uongozi wa media yetu pendwa kubadilisha tamthilia ambayo...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Napongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni. Ni jambo jema japo lilichelewa. Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh...
25 Reactions
113 Replies
7K Views
Back
Top Bottom