Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7 Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake...
23 Reactions
231 Replies
7K Views
Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Huwa naandika kila cent nitakayoitumia. Mpaka sasa tangu tar 1, nimetumia Tsh 1,191,200. Kwenye personal issue. Sadaka inahusisha ndugu jamaa na marafiki.
5 Reactions
14 Replies
595 Views
Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi...
18 Reactions
90 Replies
3K Views
N:B: shule za kata nyingi bado zina changamoto kibao, ukiwa na uwezo peleka mtoto shule nzuri umpunguzie changamoto zinazoingilia elimu yake. Mtu aliyesoma kwenye mazingira duni na bado akawa...
22 Reactions
90 Replies
3K Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, imeshiriki rasmi uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo, tarehe 25...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Wanabodi Habarini... Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na...
3 Reactions
20 Replies
906 Views
Wakuu, Shirika la Taifa la Bima NHI hivi karibuni limebadilisha bei na majina ya vifurushi vyake. Mabadiliko haya yalitangazwa tangu December 17th 2024 na sasa umepita takriban mwezi mmoja tangu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Yaani mnatuonyesha vitu ambavyo hata kwenye mti karibu na kazini kwangu ninapopumzikia naviona Tena zaidi ya hivyo vya kwenye channel yenu.
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano. Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Sayarai za Jupiter, Saturn, Mars na Venus zitaonekana angani katika maeneno mbali mbali mwezi huu kuanzia leo Tazama magharibi baada ya machweo kwa ajili ya kuona sayari ya Venus na Saturn...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa...
34 Reactions
257 Replies
10K Views
Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa? Unazidiwa na wale...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa...
28 Reactions
123 Replies
6K Views
Ni Kirusi HATARI kwa Usalama wa Taifa letu. Nimemaliza.
10 Reactions
107 Replies
7K Views
Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Serikali imetangaza kwamba ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wakati wa mkutano wa viongozi wa Afrika unaonza keshokutwa, wageni watakuwa wakitumia njia ya mwendokasi kwenda na kurudi Uwanja...
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Hello guys!! Yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini. Kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga...
11 Reactions
70 Replies
2K Views
Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kucheleweshwa kwa Malipo ya Miradi kwa Wakandarasi Wazawa Nchini Tanzania: Changamoto na Athari 1. Utangulizi Kucheleweshwa kwa malipo ya miradi ni changamoto kubwa inayokumba wakandarasi wazawa...
0 Reactions
7 Replies
578 Views
Back
Top Bottom