Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kucheleweshwa kwa Malipo ya Miradi kwa Wakandarasi Wazawa Nchini Tanzania: Changamoto na Athari 1. Utangulizi Kucheleweshwa kwa malipo ya miradi ni changamoto kubwa inayokumba wakandarasi wazawa...
0 Reactions
7 Replies
578 Views
Habari za muda huu wana JF?? Nimekutana na video moja mitandaoni iliyorekodiwa na muumini wa dini ya Kiislam akilalamikia Kanisa lililopo karibu na Msikiti alipokua anakwenda kufanya ibada na...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea. Hali hii...
4 Reactions
18 Replies
817 Views
Kuna kesi moja nimekutana nayo; kuna wazazi waliokuwa na watoto wa kike watatu hawapishani sana miaka kama 10,8 na 7. Basi binti mmoja wa kati 8 alikuwa ana tabia tabia za psychopath tangia awali...
0 Reactions
5 Replies
477 Views
Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie ameweka wazi kuwa ametoa magari takriban 200 kwa waumini wake kama sehemu ya kuwasaidia kiuchumi na kiimani. Akizungumza katika mahojiano na Salim Kikeke, alisema kuwa...
0 Reactions
4 Replies
566 Views
Habari wana jamii forum. Kwa nini pindi inapotokea hitilafu katika treni ya SGR huwa ni vigumu kwa TRC kutoa taarifa kama wafanyavyo mashirika ya ndege. Unakuta treni ilitakiwa kufika kituo...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia. mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika...
1 Reactions
4 Replies
401 Views
Kum 28:12: Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa...
3 Reactions
3 Replies
301 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Kikosi maalum cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa Kushirikiana na Wananchi kinaendelea na Operesheni ya kuwatafuta na kuwaokoa...
2 Reactions
8 Replies
988 Views
Habari zenu wadau Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nitoe wito kwa mamlaka zinazohusika kushugulikia uharibifu uliofanywa na mvua katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, barabara ya kutokea Pasua kuelekea Mahembe iliyosombwa na maji, imesababisha...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Hii inaniuma sana Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe.. Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache Uuzi tayari
4 Reactions
7 Replies
411 Views
Morng Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu...
0 Reactions
26 Replies
932 Views
Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale...
1 Reactions
0 Replies
302 Views
Nichukue nafasi hii kumpongeza ndugu LIKUD kwa jitihada zake za kuziheshimisha shule za serikali ingawa sio kwa njia nzuri sana inayokubalika. Kuziinua St Kayumba kwa kuziponda EMs sio namna...
0 Reactions
2 Replies
345 Views
Mwenye hii Bajaji simfahamu, Lakini kwa Upendo wake ameamua tu kuitangaza kampuni yetu bila malipo na yuko very Proud Najua anafuatilia page yangu. Namuomba aende Bunju leo akachukue shs 500,000...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Naona matapeli wamewaachilia watu wasio na hatia. Hongera kwa benja kwa kuwaminya hadi wanaanchia wenyewe .
0 Reactions
2 Replies
415 Views
Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Siku ya Haki za Binadamu huadhimishwa kila mwaka duniani kote tarehe 10 Desemba. Siku hii inaadhimisha kumbukumbu ya moja ya ahadi muhimu zaidi duniani: Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu...
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Back
Top Bottom