Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024. Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa...
0 Reactions
3 Replies
747 Views
Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi...
0 Reactions
6 Replies
589 Views
Wakuu salama? Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta linakukaushia tu. Limemkosa mhusika halafu...
14 Reactions
87 Replies
2K Views
Na Ferdinand Shayo, Manyara. Timu ya mpira wa miguu ya Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited mkoani Manyara imecheza mechi ya kirafiki na timu ya...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Ukiangalia wakristo wengi wanaojazana kwa mwamposa, kiboko ya wachawi wengi hawatafuti kumjua Mungu na kuacha madhambi bali wanaenda kutafuta miujiza huku wachungaji wasio na miujiza wakikimbiwa.
1 Reactions
15 Replies
618 Views
Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila...
1 Reactions
2 Replies
453 Views
Life is truly a Numbers Game Maisha ni mchezo wa namba Ukiwa unatafuta fursa Fulani , usiweke uhakika wa kuipata hiyo fursa Kwa mtu mmoja peke yake Haijalishi huyo mtu ni nani kwako au...
11 Reactions
36 Replies
1K Views
Biashara ya dada zetu kujiuza miili yao ni changamoto inayowakumba dada zetu kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi, ukosefu wa elimu, na ukosefu wa msaada wa kijamii. Katika juhudi za kuleta...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye uwelewa na gwec investment vio kwamba hii project yao ni ya kwel ama ni utapeli
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wemefariki wakiwa wanaitetea Goma. M23 walijaribu kuwafanyia mashambulizi kwa siku 2 ila hawakufanikiwa kusogea zaidi. Hongera na rest in peace kwa mashujaa hawa
0 Reactions
1 Replies
449 Views
sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale. kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
22 Reactions
45 Replies
2K Views
Kwa nchi za wenzetu katibu kila kitu kinanunuliwa na kuuzwa kwenye shopping mall hivyo maduka ya Mangi hayapo kabisa. Hebu tuangalie shopping malls kubwa kuliko zote Afrika. 1. Morocco Mall –...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana nilitoa link ya ku download hiki kitabu, kwa ambao hawaja download ingia JF Store, wandugu naomba msome vizuri hicho kitabu baadaye turudi kwenye mjadala hapa maana niliyoyasoma...
52 Reactions
440 Replies
92K Views
AZAM AZAM (Bakhresa) Umejenga wigo mpana sana Kupitia Watanzania Masikini na watu wa Hali ya Chini kabisa, hao ndio waliokuinua ukakubalika, ukatanua mipaka Africa na Duniani. Leo...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
nywele zako,mchanga wa unyayo wako,kucha,Jina lako,manii,mkojo ,picha yako au kipande cha nguo yako, kinaweza kuchukuliwa na adui ili kukutawala, au kulipiza kisasi kwako kwa kuharibu furaha yako...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Kuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.
0 Reactions
8 Replies
650 Views
UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO..... Muite Ngiri(Phacochoerus africanus) au Warthog(tamka Wart-hog) au muite Pumba. Wenyewe mmeamua kumuita Kasongo(si jina Rasmi) Ni Mnyama anayepatikana kwenye...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Once in a life time! Watazamaji na mashabiki wa anga wanatazamiwa kupata burudani ya kipekee ya angani kwani sayari sita - Mihiri, Jupita, Venus, Zohali, Neptune, na Uranus - zote zitaonekana...
13 Reactions
69 Replies
4K Views
Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho?
3 Reactions
17 Replies
733 Views
Back
Top Bottom